At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
Sikujulishwa kwa sms. Kulikuwa kimya."nikaenda wakazingua ni kama hawakufanya chochote" Eleza hapa walizinguaje na ulijuaje kama hawakufanya chochote?
Utaratibu uliotumia ndio huo huo wanafanyaga wateja wote.
Unapewa form, unajaza, then anakwambia nenda. After 5 working days unatumiwa msg kwamba ukachukue kadi yako bank ulipojazia form.
Kwani inafanya kazi siku za weekeend?NMB plse mtatuua.Turekebishieni Salary advance.Kama haipo tungepata taarifa mapema kulikoni kuikwapua ghafla!
Ndio waeleze sasa
Hivi kama bado mwezi mmoja card yako ya ATM Kuexpire wanakukata hela kwenye salio lako ulilo nalo kwenye kukutengenezea card ingine..? Na je garama yake ni kiasi gani maana nimekata elfu ishirini kwenye kasalio kangu kadogo sijui kwa nini bank wamekata..
Pls kwa anaeweza fahamu anieleze kidogo maana naeza wafata kumbe ni Mimi sijui
Sent using Jamii Forums mobile app