NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

"nikaenda wakazingua ni kama hawakufanya chochote" Eleza hapa walizinguaje na ulijuaje kama hawakufanya chochote?
Utaratibu uliotumia ndio huo huo wanafanyaga wateja wote.
Unapewa form, unajaza, then anakwambia nenda. After 5 working days unatumiwa msg kwamba ukachukue kadi yako bank ulipojazia form.
Sikujulishwa kwa sms. Kulikuwa kimya.

Sent using Jamii Forums mobile app by My phone

Eti nabakia Africa.
 
OMBI KUTOKA BANANA - UKONGA

NMB tuwekeeni tawi la benki yenu hapa Banana - Ukonga. Ikishindikana tuwekeeni hata ATM tu. Ni benki ya NMB pekee kati ya benki kubwa zilizopo nchini ambayo haina ATM wala Tawi hapa Banana. Wateja wenu hapa inatughalimu muda mwingi na umbali mrefu tunapohitaji huduma zenu.
Ni matumaini yangu kuwa mtalifanyia kazi.

NB: Ukitaja Banana inamaana unajumlisha:- Stakishari, Kitunda na miji yote iliyo sambamba na barabara inayoenda Kivule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NMB tuelezeni ni Kwa kiasi gani mmeanza kutekeleza agizo la BoT kuhusu kupunguza RIBA ya mikopo Kwa wateja wenu?
 
Hivi kama bado mwezi mmoja card yako ya ATM Kuexpire wanakukata hela kwenye salio lako ulilo nalo kwenye kukutengenezea card ingine..? Na je garama yake ni kiasi gani maana nimekata elfu ishirini kwenye kasalio kangu kadogo sijui kwa nini bank wamekata..
Pls kwa anaeweza fahamu anieleze kidogo maana naeza wafata kumbe ni Mimi sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tatizo gani mbona salary advance inakataa tangu Jana ?
 
mimi ninavyofahamu unakatwa punde utakapoomba nyingine,labda kama wamebadiri mbinu sasa hivi.
 
Hivi kama bado mwezi mmoja card yako ya ATM Kuexpire wanakukata hela kwenye salio lako ulilo nalo kwenye kukutengenezea card ingine..? Na je garama yake ni kiasi gani maana nimekata elfu ishirini kwenye kasalio kangu kadogo sijui kwa nini bank wamekata..
Pls kwa anaeweza fahamu anieleze kidogo maana naeza wafata kumbe ni Mimi sijui

Sent using Jamii Forums mobile app

Mambo kama haya ni vigumu kutoa jibu lililo sahihi, mengi yatakuwa ya kukisia kisia. Kwa mawazo yangu, ingekuwa vizuri ukawaona wahusika/Benki husika ili wakupe majibu.
 
Ni kwamba wanakukata 20 kwa sababu ya kukusafirishia kadi yako.

Mfano kama umefungulia A/C yako DSM na baadae ukahamia mkoani na kadi yako inapo expire unatakiwa ukachukulie kadi yako tawi ulilofungulia A/C yako na endapo utarakiwa kuletewa mkoani hapo ndio wanakukata hyo20

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba niulize kwa NMB business center, endapo inawezekana nikapata mkopo mdogo wa business wa sh. 8Ml kwa kuweka dhamana ya chombo cha moto cha biashar?
 
Hawa watu wa nmb ni viburi au dharau kwa wadau, naona maswali ya wadau hayajibiwi, kuwakomesha na mi nawauliza, inachukua muda gani toka fomu ipokelewe hadi salio kusoma?
Nimejaza na kukabidhi fomu toka jumatano hadi leo hakuna kitu.
 
Back
Top Bottom