At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
Sikujulishwa kwa sms. Kulikuwa kimya."nikaenda wakazingua ni kama hawakufanya chochote" Eleza hapa walizinguaje na ulijuaje kama hawakufanya chochote?
Utaratibu uliotumia ndio huo huo wanafanyaga wateja wote.
Unapewa form, unajaza, then anakwambia nenda. After 5 working days unatumiwa msg kwamba ukachukue kadi yako bank ulipojazia form.
Sent using Jamii Forums mobile app by My phone
Eti nabakia Africa.