instagramboy
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 1,521
- 345
Aseh hii mikadi yenu mbna ya kizamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mtumishi mpya wa serikali nmefungua akaunti nmb tangu ijumaa ya tarehe tarehe 6/5/ mwaka huu mkaniambia baada ya siku 3 nitapata akaunti namba yangu yaani tarehe 9/5/ sasa nashangaa hadi sasahivi bado kimya na hio kadi ya atm.sijapata though mlisema ni baada ya wiki mbili ambayo ni leo ...yaani siwaelewi mna mambo shenzi nyie mshahara wangu nitapata vipi??sijapata account namba wala sijapata atm card.....yaani najutaa bora ningejaza crdb yangu tu nlokua nalia boom chuoni daaah.....
Kafungue CRDB. Kama nyaraka zako zote zimekamilika utapata akaunti namba na ATM card ndani ya dakika 45.