NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

NMB mnaboa ninapoa to a ela cpew taarfa kupitia NMB mobile yangu,ila wngne wanapata,aiiseeh jirekebishen mnaboa kwa kweli
 
mkopo wa miaka mitano mnaotoa ni mdogo ongezeni miaka mpaka nane
 
Mimi nashangaa sana MTU anaulizwa maswali mengi wakati wa kuchukua hela ila wakati wa kueka hahojiwi hela katoa wapi
 
Nyie ni wezi mnaibia walimu mafao yao. Kuna scnerio moja imetokea nmb tarime mmemwibia mzazi wangu pesa zake za pension.

Chunguzeni wafanyakazi wenu kuna baadhi si waaminifu. Nilifatilia statement pspf nikapewa na kuoneshwa pesa zimeingia ila mzazi alipoomba bank statement akanyimwa na wala hakuruhusiwa kumuona branch manager.

Acheni ushenzi na wizi wa kijinga huo.
 
Nyie ni wezi mnaibia walimu mafao yao. Kuna scnerio moja imetokea nmb tarime mmemwibia mzazi wangu pesa zake za pension. Chunguzeni wafanyakazi wenu kuna baadhi si waaminifu. Nilifatilia statement pspf nikapewa na kuoneshwa pesa zimeingia ila mzazi alipoomba bank statement akanyimwa na wala hakuruhusiwa kumuona branch manager. Acheni ushenzi na wizi wa kijinga huo.
KATIKA KUAJILI WAPO SAWA 99%,KTK KAZI UPENDELEO SIO MKUBWA,KTK MALIPO YA WATUMISHI WAPO SAFI NA WANAJALI SANA,ILA KTK KUFUKUZA WATUMISHI HAWAFUATI HR MANUAL INGAWA HEAD OFFICE WANARUDISHANA HATA KAMA WALIFUKUZANA ILA MATAWINI MAWEEEEE NI KWAHERI YA KUONANA:msela:
 
Nyie ni wezi mnaibia walimu mafao yao. Kuna scnerio moja imetokea nmb tarime mmemwibia mzazi wangu pesa zake za pension. Chunguzeni wafanyakazi wenu kuna baadhi si waaminifu. Nilifatilia statement pspf nikapewa na kuoneshwa pesa zimeingia ila mzazi alipoomba bank statement akanyimwa na wala hakuruhusiwa kumuona branch manager. Acheni ushenzi na wizi wa kijinga huo.
KATIKA KUAJILI WAPO SAWA 99%,KTK KAZI UPENDELEO SIO MKUBWA,KTK MALIPO YA WATUMISHI WAPO SAFI NA WANAJALI SANA,ILA KTK KUFUKUZA WATUMISHI HAWAFUATI HR MANUAL INGAWA HEAD OFFICE WANARUDISHANA HATA KAMA WALIFUKUZANA ILA MATAWINI MAWEEEEE NI KWAHERI YA KUONANA:msela:
 
Mnatutesa Kahama NMB atm ipo sehemu moja tu. Hiyo ATM inategemewa na Wilaya tatu Kahama, Msalala na ushetu. Kwa hilo totally hamuwajali wateja wenu.
 
haws jamaa wanacheki yangu mwezi mzima hawajajfanyia kazi.
 
Kwa upande wa mikopo masharti ni magumu, mkopaji anahitaji fedha aendelezee biashara yake, anambiwa awe na cash deposite kwanza. sijaipenda. Badilisheni.
 
Wapendwa naomba mnielekeze namna ya kujiunga na huduma ya NMB sms alert ili pesa ikiingizwa kwenye akaunti yangu nijue bila kuuliza uliza salio.

Asanten sana
 
Dar es Salaam, Tanzania, 16 June 2015 –National Microfinance Bank (NMB), Benki inayoongoza kwa kuwa na wateja wengi nchini, imezindua rasmi familia ya kadi za benki “MasterCard Debit”, zikiwemo Tanzanite, Titanium kwa mara ya kwanza nchini Tanzania, Kadi ya “First world Rewards”. Familia hii ya kadi hizi za benki zitahudumia wateja aina mbalimbali, ikiwemo asilimia kubwa ya wateja (Tanzanite), wateja wa kipato cha kati (Titanium) na wale wateja wa kipato cha juu (World Rewards) ikitoa huduma na faida mbalimbali mahususi kwa walengwa.
“Pamoja na ukuaji wa kasi katika sekta ya malipo kwa njia ya elektroniki, wateja wetu wanazaidi kutafuta njia za haraka, salama na zenye unafuu kutumia katika malipo. Kukabiliana na wimbi hili, tumezindua familia hii ya kadi zinazokubalika kimataifa, na hivyo kurahisisha upatikanaji wa pesa zao kwa usalama popote walipo, Tanzania au nje ya nchi” alisema Ineke Bussemaker, Mkurugenzi mtendaji wa NMB.
Wamiliki wa kadi hizi za ‘MasterCard’ wataweza kutoa Fedha kutoka mashine za Miamala ya fedha duniani kote zenye alama ya “MasterCard Acceptance” ya fedha. Pia wataweza kulipia bili, kulipia umeme na Salio za simu, pamoja na kununua bidhaa mtandaoni kutoka maduka mbalimbali makubwa ndani na je ya nchi.
“Kadi za “MasterCard debit” zinakubalika na mamilioni ya wafanya biashara kutoka nchi Zaidi ya 210, ikiwa na maana kuwa wanaosafiri kwa ajili ya mapumziko au biashara wataweza kupata pesa zao popote pale, kwa urahisi kama wakiwa nyumbani” alisema Michael Miebach, Raisi, Mashariki ya kati na Africa, MasterCard. “muhimu Zaidi, kila muamala wa kitaifa na kimataifa unalindwa na usalama wa “masterCard SecureCode pamoja na EMV chip na Teknolojia ya PIN” ambazo hutoa usalama wa ziadakila mara mteja anatumia kadi yake mtandaoni au katika duka la kawaidia.”
NMB pia inakuwa Benki ya kwanza Tanzania kuzindua kadi ya “MasterCard World Rewards”. Kadi hii inawapa fursa wamiliki kupata huduma za kipekee za kiamisha kama vilie ofa za ndege, malazi, kukodisha gari, vyakula, manunuzi, michezo na burudani kupitia “Mastercard priceless Cities and Priceless Africa Programmes”.
“Hapa NMB tunaamini ni muhimu kufahamu mahitaji na matakwa ya wateja wetu, na kuwazawadia kutokana uaminifu wao. Tunayofuraha kuwa benki ya kwanza Tanzania kutambulisha mpango huu wakimapinduzi unaotoa zawadi kwa wateja wetu wa kipato cha juu huduma mbalimbali za kipekee za kimaisha, kupitia matawi yetu yaliyopo tayari na tawi letu jipya kabisa la “Private banking” litakalo hudumia wateja wetu wa kipato cha juu” alisema Bussemaker.
Wamiliki wa kadi za “Worlds Rewards” wataweza kujipatia poinyti za uaminifu kila mara wanapotumia kadi zao. Pointi hizi za uaminifu zinaweza kukombolewa kwenye mashirika ya ndege zaidi ya 800 dunia nzima, kampuni za kukodisha magari an hoteli maarufu Zaidi ya 160,000 duniani.
Wamiliki wa kadi zilizo kwenye familia hii, wataenedlea kufurahia huduma nyinginezo za NMB zikiwemo “NMB App, NMB Internet Banking, NMB E-Statement na NMB Mobile”.
-MWISHO-
Kuhusu NMB
National Microfinance Bank (NMB) ndio benki ya biashara inayoongoza kwa huduma zote kamilifu hapa Tanzania ikitoa huduma mbalimbali za kibenki kwa kundi la wateja linalowakilisha vyema Tanzania nzima. Benki hii hutoa huduma kama za akiba, mialama pamoja na huduma za ufadili kwa watu binafsi, kuanzi kampuni ndogo hadi za kati, serikali, kilimo biashara pamoja na makampuni makubwa na taasisi. NMB pia ina jukumu muhimu katika sekta ya kilimo pamoja na maghala hapa nchini kupitia SACCOS na Amcos.

Katiaka Ubinafsishaji mwaka 2005, benki ilikuwa na wateja takribani 600,000, idadi hiyo ikiongezeka na kufikia millioni 1.8. Benki haikuwa na Mashine ya muamala (ATM) hata moja miaka mitano iliyopita, leo hii inamiamala Zaidi ya 600, ambayo ni asilimia 40 ya mashine zote Tanzania kwa ujumla. Benki inamatawi zaidi ya 170 na inapatikana katika asilimia 95 ya wilaya zote za kiserikali Tanzania. Nia ya benki hii ni kufikia asilimia 100 ya wilaya zote Tanzania

Fuatilia ukurasa wetu Twitter @NMBTanzania na upande wa Facebook NMB Tanzania
Kuhusu MasterCard
MasterCard, www.mastercard.com, ni kampuni ya teknolojia katika ulimwengu wa malipo ya kielektroniki. Sisi tunaendesha mfumo wenye kasi zaidi duniani katiaka masuala ya miamala ya fedha, kuunganisha wateja, taasisi za fedha, wafanyabiashara, serikali na biashara katiaka nchi zisizopungua 210. Bidhaa hizi za MasterCard pamoja na huduma zake hufanya shughuli za kibiashara za kila siku kama vile ununuzi, kusafiri, kuendesha biashara na kusimamia fedha - rahisi, salama zaidi na zenye ufanisi zaidi kwa kila mtu. Fuatilia kurasa wetu wa Twitter: @MasterCardMEA na @MasterCardNews, kujiunga na majadiliano Beyond the Transaction Blog na jiunge kupata habari za kina MEA Engagement Bureaua
 

Attachments

  • 9[1].JPG
    9[1].JPG
    57 KB · Views: 168
  • 1[1].jpg
    1[1].jpg
    84.7 KB · Views: 166
Nimefurahi sana NMB kuwa na Mastercard natumai huduma itakuwa nzuri zaidi
 
NMB ni benki ya serikali.. Kwann mkurugenzi mtendaji ni mzungu??? Naomba nieleweshwe tafadhari
 
NMB ni benki ya serikali.. Kwann mkurugenzi mtendaji ni mzungu??? Naomba nieleweshwe tafadhari

Kuna tatizo gani na CEO wa NMB kuwa Mzungu?
Serikali haimiliki hisa zote, ina hisa Chini ya 50%
 
Kuna tatizo gani na CEO wa NMB kuwa Mzungu?
Serikali haimiliki hisa zote, ina hisa Chini ya 50%

Raia wa kitanzania wanahaki ya kuongoza benki kubwa kama njia ya kujenga uwezo wa ndani. Nafikiri ingekuwa sahihi benki hii iwekwe mikononi mwa wazawa ni jambo zuri.
 
Raia wa kitanzania wanahaki ya kuongoza benki kubwa kama njia ya kujenga uwezo wa ndani. Nafikiri ingekuwa sahihi benki hii iwekwe mikononi mwa wazawa ni jambo zuri.

Ndo maana iko Public hivyo kuna wazawa wana miliki hisa.
Uchaguzi wa CEO umezingatiwa na hao wawekezaji
 
Back
Top Bottom