alhjosephmarwa
Member
- Jan 7, 2016
- 12
- 4
Rekebisheni kauli zenu kazini ! Tutawakimbia !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo kitu wanayo, nilishawahi kuambiwa nijiunge nayo sema hofu zetu na vijisent visije potea. pia mfano mtandao wa tigo sio lazima uwe na salio.Sijajua kama limeshajibiwa hili ila kwa vile customer care ni kumhudumia mteja individually naomba mjibu tu hata kama ninauliza mara ya 111100.
Je mna mpango wa huduma za pesa kwa mtandao? hii namaanisha kuwa kuwe na app kwenye simu za adroid na iOS ambayo mtu akiwa na data tu anaweza kuhamisha pesa, kuona statement ama kuangalia balance bila makato ya kijinga kabisa kama ya sasa. Sijui mnakuaje bank za Tz, eti huduma ya bank mpk niwe na vocha kwenye simu alafu *150*66#, hapo bado bank na nyie mnakata (eti gharama za kuangalia salio) huu ni wizi wa wazi wazi. Sasa kama natumia wi-fi au sipo Tanzania siwezi ona salio/statement/transfer monies.
Wenzetu walishapiga hatua hizo zamani sana, mpaka ukipoteza kadi unapewa nyingine free na haraka.
Je mna huo mpango ama lazima tuwafaidishe wenye mitandao ya simu na nyie?
rant rant rant rant
sasa wana app kwenye Ios? hata adverts zao sijaonamkuu
hiyo kitu wanayo, nilishawahi kuambiwa nijiunge nayo sema hofu zetu na vijisent visije potea. pia mfano mtandao wa tigo sio lazima uwe na salio.
Nmb app. inapatikana mkuu.sasa wana app kwenye Ios? hata adverts zao sijaona
Inaitwaje?Nmb app. inapatikana mkuu.
Hiyo tigo salio linakatwa kwenye pesa iliyopo kwenye akaunti yako. Hakuna cha buremkuu
hiyo kitu wanayo, nilishawahi kuambiwa nijiunge nayo sema hofu zetu na vijisent visije potea. pia mfano mtandao wa tigo sio lazima uwe na salio.
Nmb mobile sio huduma ya kisasa, nikiwa sipo Tz nitajuaje salio? Au mitandao yote tu inakubali?Hii huduma ya NMB mobile ni kero kubwa sana, ni kama wizi fulani hivi!! Hauna ufanisi na gharama mnazokata ni kubwa sana. Ikitokea huduma haijakamilika, inakuwa ngumu kurudishiwa pesa zako, na kma ukirudishiwa hairudishwi yote, yaani kama nimetuma kiasi cha pesa na ikatokea ile pesa isifike kwa mhusika, inarudishwa kwenye akaunti kwa mbinde sana, mbaya zaidi hela inayokatwa kwaajili ya hiyo huduma hairudishwi wakati huduma haijakamilika, KWANINI? Huu sio wizi? Mnakera kwa kweli na hii NMB Mobile yenu. Kama hamuwezi kuondoa hizi kero ni bora muifute..