NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

Mimi ni mtumishi wa serikali (mwalimu) mwaka jana mwezi wa tisa nilienda benk ya nmb tawi la ifakara kwa ajili ya kuchukua mkopo ila nikaambiwa kuwa kwa sasa hawawezi kutoa mkopo kwa watumishi wapya.

Ivyo nilikuwa naomba kuuliza je mmesha anza kutoa tena kwa mwaka huu? Asante
 
Riba zenu ni kubwa mno, yaani ukipiga hesabu ni zaidi ya 50%. Makato ya mkopo kibao.
 
Habari

leo mchana mida ya saa sita na nusu mchana nimepokea message hii," IMETOA SH. 8,000 KWENYE A/C INAYOISHIA NA 00469 TAREHE 1-2-2017 12.27". nilichofanya nilichungulia wallet nayo nikakuta ipo salama isiwe nimebiwa kadi.

baada ya kukaa na kulinganisha message nyingine huwa wanaweka "KAMA HUTAMBUI MUAMALA HUU PIGA 0800 11 22 33".

Sasa nikatafuta ki peperushi cha NMB tariff guide 2016 na kukisoma kwa makini. kuna mahali pameandikwa ANNUAL CARD MAINTANCE chap*2 0.00, standard card 8,000, titanium 10,000 na world reward 100,000. kwenye MONTHLY MAINTANCE FEE ni 1,600 kwa personal, student, wisdom na current a/c.

hii imekaaje maana bado nina maswali mengi. nimepiga namba ile haijapokelewa mpaka napoandika uzi huu. na ukipiga mahesabu 1,600*12months plus 8,000 ni kama 22,700 kwa mwaka either u draw pesa au ufanye huduma yoyote ya kibenki.

embu fafanueni hiyo 8,000 ni ya nini

asante
 
Hata mimi text hiyo ya NMB niliipata kisha nikawapigia simu muda huo huo wakajibu ni makato kwa ajili ya VISA CARD.

Basi nikakata simu haraka sana mana niliona wananikoroga tu
 
Nyau wewe una division ngapi kwanza tuanzie hapo kilaza mubashara?
wala hakuna sababu ya kunitusi,
kutofautiana na mtu mawazo hakuhusishi elimu ya mtu, ila waliopungukiwa uelewa pekee ndio wenye kudhani hivo
 
Hata mimi text hiyo ya NMB niliipata kisha nikawapigia simu muda huo huo wakajibu ni makato kwa ajili ya VISA CARD.

Basi nikakata simu haraka sana mana niliona wananikoroga tu

Sasa bora nirudi kwenye zile kadi za njano sijui kama zinawezekana?

NILIULIZA SANA WAKATI NATAKA KUJIUNGA NAO WAKANIAMBIA HAKUNA MAKATO YOYOTE SASA NASHANGAA LEO
 
Mimi ni mteja wa NMB tawi la Korogwe. Nimechukua mkopo July, 2016.

Kinachonishangaza kila mwezi mbali mkopo huwa nkatwa takribani sh 30,000.00! Fedha hii inayokatwa haionyeshwi kwenye salary slip yangu ila ktk bank statement inaonekana inakatwa!

Je ni halali tawi la benki au mtu mwingine kukukata fedha bila kuonekana ktk salary slip? No yangu ya simu, 0714497071.
 
Ndugu Mteja, TZS 8000 iliyotolewa kwenye akaunti yako tarehe 01/02/2017, ni gharama za huduma ya NMB MasterCard 2016. Samahani kwa usumbufu.

Hii ni shida sana jamanii tutauwana huku [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Mnasema kuwa mna interest kwenye FDA ss mwisho mara ngapi kuzifix fedha zangu?
 
Wapendwa hii bank ni majanga tu, niliwahi kukopa tawi la newala, Afisa mikopo SWAI alikuwa anachexea Akaunti yangu atakavyo.

Kwenda kwa manager anamtetea, kwenda makao makuu wakanijibu nashukughulikia ombi lako mpaka Leo. Hiyo ni Michezo ya maafisa mikopo ni miungu watu hiyo. Nafikiria kuhamia crdb.....
 
Mimi nipo bariadi ,no mteja wa nmb,nilienda pale kwa ajili ya mkopo sasa ,nikapewa form ya mkopo nikajaza nakutimiza mashart ya form hiyo,ila baada ya kukamilisha nkaennda tena bank pale,kufika wanataka salary slip za mwez January na December,hizo zinapatkana utumishi port,kufatilia portal imefungwa ,je kwakuwa nmeshasubmit form VIP makato yatafanyika na je nitapataje salary slip za karbun ili nkamilishe mashart ya bank au naweza tumia za miez ya nyuma tu,kama awalu
 
Back
Top Bottom