kalou
JF-Expert Member
- Aug 22, 2009
- 4,975
- 3,829
Unaweza kutumia barua ya utambulisho wa mkazi toka ofisi za serikali ya mtaa au kijijiSina kitambulisho natakufungua account nafanyeje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kutumia barua ya utambulisho wa mkazi toka ofisi za serikali ya mtaa au kijijiSina kitambulisho natakufungua account nafanyeje
Unaenda kuripoti polisi kisha utapatiwa "loss report" , utaipeleka taarifa hiyo ya kupotelewa kadi benki kwa ajili ya kujaza fomu ya maombi ya kadi mpyaNimepoteza kadi yangu, naomba utaratibu wa kupata nyingine
Hello,Sina kitambulisho natakufungua account nafanyeje
Una maanisha nini?Alafu eti mabenki haya makubwa hayanunua madeni.
Waamishwe kitengo wakae hata madirishani as tellers kuna jamaa alikua pale kijana alikua active nadhani walimpromote nahisi hakuna motivation pale hata ukihudimia mteja mmoja kwa siku poa tuWaachishwe Kazi Wakale Wapi Mkuu?
Kuna tangazo lenu la Nmb Trade Financial, sasa mbona haliendani uhalisia,Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote,
NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo.
Ndugu wana jukwaa, NMB inajipambanua kwa kusimamia maadili moja wapo ikiwa ni uaminifu kwa wafanyakazi wake.
NMB pia inapenda kuwa hakikishia wateja na jamii kwa ujumla kwamba itaendelea kusimamia sera zote za benki ikiwa ni pamoja na kutovumilia wafanyakazi wasio waadilifu.
Kama kutatokea umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:
1. Kupitia tovuti: http://www.nmbtz.com
2. Kupitia e-mail maalumu: whistleblower@nmbtz.com
3. Kwa posta &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:
Afisa Mtendaji Mkuu (Bahasha iandikwe "Siri")
Makao Makuu ya NMB,
P. O. Box 9213,
Azikiwe/Jamhuri Street,
Dar es Salaam, Tanzania.
4. Au kwa kupiga simu zifuatazo:
0658 751 000 Tigo
0779 751 000 Zantel
0685 751 000 Airtel
0800 751 000 Vodacom
OK.Nimewapata ila nachukia midada inayovaa nusu uchi kama Malaya wa uwanja wa Fisi.Pls rekebisheni na hili ivi mnamvalia nano vinguo vifupi? Mnatuketa sana.Bora nyie mnaotokea hapa jukwaani kwa ajili ya kukidhi kiu ya maswali na ushauri kwa wateja wenu
Maana wenzenu NBC wako hoi kitandani na hawana hata habari juu ya yale yanayoandikwa kwenye mitandao juu ya benki yao
Hongereni sana kitengo cha mawasiliano kwa umma NMB kwa mrejesho huu mnautupatia, Hakika nyinyi ni wadau wa kweli katika maendeleo ya taifa hili
Natamani taasisi zote zikaiga mfano huu
HEKO NMB HEKO TANZANI
Hongera sana, kwa kuwa Verified userHongera kwakujitokeza kujibu hoja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi nyie mnaakili kweli?,hiii pesa mnanikopesha au ni yangu niliiweka ili mnihifadhie ?,inakuwaje nikija kuitoa kwa shida zangu binafsi mnataka kujua NATOA KWA AJILI YA MATUMIZI GANI?,aisee this is too much na mnavuka mipaka...........JIBU LA HII FOMU KWA JINSI NILIVYOIJAZA NI UJUNBE TOSHA KWENU,msinipangie wala kutaka kujua matumizi ya pesa zangu.