Bhagavan
JF-Expert Member
- Oct 28, 2017
- 1,946
- 2,822
Imekubali Mkuu. Mbuzi wa xmass kapatikanaNimejaribu na mimi nikajua kwangu tu!
Ngoja wapite huku huenda wakatatua
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imekubali Mkuu. Mbuzi wa xmass kapatikanaNimejaribu na mimi nikajua kwangu tu!
Ngoja wapite huku huenda wakatatua
Nimechelewa nafikiri,bado nimeambiwa nijaribu badaye
Hilo sina hakika,ukiwa na nmb mobile unamaliza mchezo.Kupata salary advance mapaka uwe na mkopo Bank?
Sent using my 6x6 bed.
KeSho waendee ofisini kwaoMbona najaribu inakataa
Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo.
Ndugu wana jukwaa, NMB inajipambanua kwa kusimamia maadili moja wapo ikiwa ni uaminifu kwa wafanyakazi wake.
NMB pia inapenda kuwa hakikishia wateja na jamii kwa ujumla kwamba itaendelea kusimamia sera zote za benki ikiwa ni pamoja na kutovumilia wafanyakazi wasio waadilifu.
Kama kutatokea umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:
1. Kupitia tovuti: http://www.nmbtz.com
2. Kupitia e-mail maalumu: whistleblower@nmbtz.com
3. Kwa posta – Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:
Afisa Mtendaji Mkuu (Bahasha iandikwe "Siri")
Makao Makuu ya NMB,
P. O. Box 9213,
Azikiwe/Jamhuri Street,
Dar es Salaam, Tanzania.
4. Au kwa kupiga simu zifuatazo:
0658 751 000 Tigo
0779 751 000 Zantel
0685 751 000 Airtel
0800 751 000 Vodacom
NMB wananunua mikopo ya benk nyingine?Ndugu wana JamiiForums,

Hivi huko NMB, Huyo aliyekuwa amepangwa kujibu hoja/maswali kwenye hii page yenu amefariki? Sasa akifa haiwezekani kuajiri mwingine ajibu?
MODS fungeni hii page maana imekuwa kama dustbin watu wanatiririka shida zao na hakuna majibu
Sent using Jamii Forums mobile app