Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajibu. Ila nadhani wanasoma commentsMbona sioni majibu kutoka NMB au wanajibu inbox
Hii nimehangaika nao sana. Ukiwafuatilia wanakutumia kwa mwezi mmoja au miwili halafu hawatumi tena. Mpaka ufuatilie. Sababu wanazotoa ni either hakuna network au hawaoni kama umeomba uwe unapatiwa e-statement kila mwezi. Ni sababu juu ya sababu. Badala ya kuweka hivi vitu viwe automated kutuma statement, wao bado wako manualNMB Tanzania ni kwanini mmeacha kutuma electronic bank statement za kila mwezi kwenye email.
Kuna uhusiano wowote na huu utaratibu mpya wa kukata tsh 5300 bila maelezo yoyote?
Hivi NMB kwa nini mkitangaza kazi za kuapply kwa kutumia system huwa mnachezea system na kumfanya muombaji asiweze kutuma Maombi ya kazi?,..nashauri msiwe mnatangaza ajira muwe mnachukuana kimya kimya.Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo.
Ndugu wana jukwaa, NMB inajipambanua kwa kusimamia maadili moja wapo ikiwa ni uaminifu kwa wafanyakazi wake.
NMB pia inapenda kuwa hakikishia wateja na jamii kwa ujumla kwamba itaendelea kusimamia sera zote za benki ikiwa ni pamoja na kutovumilia wafanyakazi wasio waadilifu.
Kama kutatokea umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:
1. Kupitia tovuti: http://www.nmbtz.com
2. Kupitia e-mail maalumu: whistleblower@nmbtz.com
3. Kwa posta – Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:
Afisa Mtendaji Mkuu (Bahasha iandikwe "Siri")
Makao Makuu ya NMB,
P. O. Box 9213,
Azikiwe/Jamhuri Street,
Dar es Salaam, Tanzania.
4. Au kwa kupiga simu zifuatazo:
0658 751 000 Tigo
0779 751 000 Zantel
0685 751 000 Airtel
0800 751 000 Vodacom
Hata mimi siwaelewi katika app wanafeli Sana bila shida no activation na wakati mwanzo ilikuwa naingia kawaida tuNMB Tanzania, hivi wakati huu kuna shida kwenye Nmb Mkononi app, au ni kwenye kifaa nitumiacho pekee?
Mbona ninyi hampunguzi riba kwenye mikopo...Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo.
Ndugu wana jukwaa, NMB inajipambanua kwa kusimamia maadili moja wapo ikiwa ni uaminifu kwa wafanyakazi wake.
NMB pia inapenda kuwa hakikishia wateja na jamii kwa ujumla kwamba itaendelea kusimamia sera zote za benki ikiwa ni pamoja na kutovumilia wafanyakazi wasio waadilifu.
Kama kutatokea umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:
1. Kupitia tovuti: http://www.nmbtz.com
2. Kupitia e-mail maalumu: whistleblower@nmbtz.com
3. Kwa posta – Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:
Afisa Mtendaji Mkuu (Bahasha iandikwe "Siri")
Makao Makuu ya NMB,
P. O. Box 9213,
Azikiwe/Jamhuri Street,
Dar es Salaam, Tanzania.
4. Au kwa kupiga simu zifuatazo:
0658 751 000 Tigo
0779 751 000 Zantel
0685 751 000 Airtel
0800 751 000 Vodacom
Mkuu chapchap ina limit ya kudeposit pesa kwenye acount yako.yenyewe mwisho 5mln.NAOMBA KUJUA TOFAUTI YA NMB CHAP CHAP ACCOUNT NA ZILE NMB ACCOUNT ZINGINE,
TAFADHALI
Na ishu ya makato ya benk inatofaut gani na account hizo za kawaida kwa mwezi?Mkuu chapchap ina limit ya kudeposit pesa kwenye acount yako.yenyewe mwisho 5mln.