NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

Ndugu wana JamiiForums,

Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo.

Ndugu wana jukwaa, NMB inajipambanua kwa kusimamia maadili moja wapo ikiwa ni uaminifu kwa wafanyakazi wake.
NMB pia inapenda kuwa hakikishia wateja na jamii kwa ujumla kwamba itaendelea kusimamia sera zote za benki ikiwa ni pamoja na kutovumilia wafanyakazi wasio waadilifu.

Kama kutatokea umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:

1.
Kupitia tovuti: http://www.nmbtz.com
2. Kupitia e-mail maalumu: whistleblower@nmbtz.com
3. Kwa posta – Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:

Afisa Mtendaji Mkuu (Bahasha iandikwe "Siri")
Makao Makuu ya NMB,
P. O. Box 9213,
Azikiwe/Jamhuri Street,
Dar es Salaam, Tanzania.

4. Au kwa kupiga simu zifuatazo:
0658 751 000 Tigo
0779 751 000 Zantel
0685 751 000 Airtel
0800 751 000 Vodacom
Makato
 
Very nice,,, inaonesha ni kwa kiasi gani mko serious na kazi, ukomavu katika sekta ya fedha unaonekana, kwani kukidhi mahitaji ya mteja ndio dhima kuu ya Biashara. Zaidi ya yote boresheni mifumo ya taarifa za WATEJA waweze kupata kwa wakati, na makato yawe moderate.
 
Ndugu wana JamiiForums,

Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo.

Ndugu wana jukwaa, NMB inajipambanua kwa kusimamia maadili moja wapo ikiwa ni uaminifu kwa wafanyakazi wake.
NMB pia inapenda kuwa hakikishia wateja na jamii kwa ujumla kwamba itaendelea kusimamia sera zote za benki ikiwa ni pamoja na kutovumilia wafanyakazi wasio waadilifu.

Kama kutatokea umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:

1.
Kupitia tovuti: http://www.nmbtz.com
2. Kupitia e-mail maalumu: whistleblower@nmbtz.com
3. Kwa posta – Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:

Afisa Mtendaji Mkuu (Bahasha iandikwe "Siri")
Makao Makuu ya NMB,
P. O. Box 9213,
Azikiwe/Jamhuri Street,
Dar es Salaam, Tanzania.

4. Au kwa kupiga simu zifuatazo:
0658 751 000 Tigo
0779 751 000 Zantel
0685 751 000 Airtel
0800 751 000 Vodacom
NMB,NMB,NMB, nimewaita mara3 yani huduma ya NMB MKONONI nijisajili mimi alafu nisipoitumia mnikate ela et kwa sababu situmii huduma yenu, nimejisajili ili niwe napata ujumbe wa taarifa zangu za miamala napoeka na kutoa pesa, sio wote tuna smart phone tunaweza kutumia NMB APP kwenye simu janja hii bank sasahivi imeshakua ya kihuni haina tofauti na mtandao wa vodacom tu pls hii INACTIVE NMB FEES muiondoe ni wizi wa wazi wazi kutumia huduma ni hiari ya mtu sio lazima
 
Hawajibu
 
mie juzi nimeenda kupanga foleni kwenye atm kutoa 50k nacheki balance wamelamba 10k nzma kama makato
 
NMB wahuni tu kama wahuni wengine
Mkopo riba CRDB 13% wao wameng'ang'ana na 17% wacha waendelee tu na uhuni wao watu wanahamisha mishahara kwa kasi sasahivi
 
  • Thanks
Reactions: amu
IMG-20230406-WA0000.jpg

Makato ya ajabu mnafanya mara tatu kwa kitu kimoja inafika ef10 nzima bila mtu kutumia account yake. Na hayo makato ya mkononi inactive sijui ni Yann pia Hali sijajiunga na huduma ya ivyo. Istoshe niliripoti hili tatizo pale mwenge wakasema watarudisha pesa zangu wanazokata Kila mwezi ila naona badala ya kurudisha wanaendelea kukata Kila mwezi. Em shuhulikieni tatzo lenu
 
Hameni ko mpango ni CRDB kwanza wanajali wateja wapo chap Sana Sana hata ninyi wafanyakazi wa nmb hameni hiyo bank ni ya wizi mtupu
 
Hawa mbona makato makubwa gaani kuyumu buku 50 unakatwa 5k jamani hatari hii
 
Kutoa million kwa wakala nakatwa kiasi gani?

Kutoa nmb kupeleka account ya benki nyingine makato yakoje?
 
Nawashauri mrudishe mfumo wa kutumia mashine kwa mawakala. Mfumo wa kutumia sim banking umefeli. Nasema haya nikiwa wakala pia.
 
Ndugu wana JamiiForums,

Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo.

Ndugu wana jukwaa, NMB inajipambanua kwa kusimamia maadili moja wapo ikiwa ni uaminifu kwa wafanyakazi wake.
NMB pia inapenda kuwa hakikishia wateja na jamii kwa ujumla kwamba itaendelea kusimamia sera zote za benki ikiwa ni pamoja na kutovumilia wafanyakazi wasio waadilifu.

Kama kutatokea umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:

1.
Kupitia tovuti: http://www.nmbtz.com
2. Kupitia e-mail maalumu: whistleblower@nmbtz.com
3. Kwa posta – Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:

Afisa Mtendaji Mkuu (Bahasha iandikwe "Siri")
Makao Makuu ya NMB,
P. O. Box 9213,
Azikiwe/Jamhuri Street,
Dar es Salaam, Tanzania.

4. Au kwa kupiga simu zifuatazo:
0658 751 000 Tigo
0779 751 000 Zantel
0685 751 000 Airtel
0800 751 000 Vodacom
Ushauri wangu kwa BANK pendwa ya NMB ni kwamba PUNGUZENI RIBA YA MIKOPO ANGALAU IWE 13% AU CHINI YA HAPO kama ilivyo kwa CRDB.

Msingi wa hoja yangu

1.Watumishi wengi mishahara yao inapitia huko hivyo wanawateja wengi kulinganisha na BANK nyingine

2.Kurahisisha utoaji wa huduma za mikopo kwa wateja wao maana kwa sasa wateja wengi wakitaka mikopo inawalazimu kwenda CRDB ambako RIBA ni ndogo 13% sasa CRDB moja ya sharti lazima uhamishe mshahara wako upitie kwao ni usumbufu mkubwa

3.Itapata wateja wengi sana kwa kuwa ni Bank pekee yenye matawi nchi nzima hadi ngazi ya Halmashauri
 
Mkimalizana na NMB karibuni dollrubii_decors

SIsi ni wauzaji wa HomeDecors kwa bei nafuu zaidi kuliko wote karibu ujione.
KWA MAHITAJI YA
♦️PAZIA
♦️ MAUA NA MAPAMBO YA NDANI
♦️FURNITURE
♦️KITCHENWARE
TUNATUMA MIKOA YOTE🇹🇿
WHTAP|📞 0699306065
KARIBUNI SANA. FREE DELIVERY DAR

INSTAGRAM @dollrubii_decors
 
😅NMB I don't know whether this is a suggestion or request but I wish it is taken into consideration..
Well your bank does not receive field letters for first year University students to say the truth I don't know why you disregard them but they actually want to learn too if every organization says no to them then where should they learn.....I think it's better if in the future you take them in consideration too
Thank you lol♥️
 
Tunatoa pesa kwa Cardless ila meseji haziji shida nini??? Dar es salaam.... Tunakwama kabisa
 
Back
Top Bottom