NMB wagoma kurudisha hati ya nyumba, japo deni lao limeshalipwa lote

Status
Not open for further replies.
Lengo la benki wanakulazimisha ukope tena kwao hiyo tabia ni kawaida sanaa kwa benki za bongo, wanakopesha ili wakufilisi kwa kushindwa kulipa sasa hapo wakutegemea kama utamaliza, hati utapewa ila baada ya kuisotea .
Unakua kama unaomba msaada wakati ni hako yako
 
Yote hayo ya kuandika barua ameshafanya imagine 5years kila siku wanasema utapigiwa simu
 
Lah!
Mwambie huo mama achunge namba sana.
Kumbukumbu zake zote zinazohusiana na mkopo na ulipaji wa mkopo awe nazo karibu sana. hao Benki wasije kuibuka na kutaka kunadi nyumba.
Lakini kwa maelezo yako, hujasema lolote Benki wanasemaje kuhusu mkopo huo. Wanamwambia mama nini kuhusu kurudishiwa hati yake. Wewe umesema "anazungushwa tu", anazungushwa vipi, na nani kwenye hiyo Benki. Ni nani hasa anashughulikia swala lake moja kwa moja. Kisha fika kwa meneja wa tawi? Kaambiwa nini, tueleze nasi tujue kabla hujatushirikisha katika kuwalaumu Benki.
 
Je ana kumbukumbu zote za malipo ya marejesho? Huo utakuwa uthibitisho kwamba alikopa benki
Hapo nimetumia akili za kuvukia barabara
 
Ndugu Zangu Majizi Yapo Hata Bank
Alipokopa Mkopo Alipewa Mkataba Unaoonyesha Pesa Na Makato Kila Mwezi Na Mwaka Wa Kumaliza. Kama Mleta Mada Huyo Mzee Wako Anao Anaweza Kukuonyesha
Warudishe Hati Hapa JF Hili Jambo Halitapita Kimya Tawi Husika Wafanye Hima
 
Mbona hapo NMB wamempa biashara nzuri ya kuwapiga fidia ya mamilioni? Hapo ni mahakamani straight kuvuna hela za bure. Sema NMB nao wanaangalia sura za kuwafanyia huo upuuzi.
 
Ungefuata taratibu ungewasiliana na bank husikia unaweza ukawa umekurupuka kuja mtandaoni kuleta lawama, ungemtafuta mkurugenzi mkuu kama unataka kusaidia
Yote hayo wameshafanya juzi tu hapa ameenda ameambiwa "nenda tutakupigia simu" hii ni mpaka lini yani mtu anasuburi kupigiwa simu kwa miaka 5 kweli?
 
Amefata process zote na barua ya kuomba hati aliandika lakini kila akienda anaambiwa aondoke tu atapigiwa simu. NAOMBA TUSAIDIANE KUPATA HAKI YA HUYU MAMA
 
Ipo hivi huwa anaenda Bank kufuatilia hati lakini akifika anaambiwa "NENDA TUTAKUPUGIA SIMU" KWA MIAKA 5 SASA na ameshaonana hadi na meneja wa Benk akampa kijana wa kufatilia huyo kijana na yeye kamwambia siku fulani urudi utakuta tayari, hiyo siku imefika amerudi anaambiwa "MAMA WEWE NENDA TU NITAKUPIGIA SIMU NITAITAFUTA" kwa hiyo akiendelea kusubiri kupigiwa simu si itachuka miaka 10 aiseee
 
Amefata process zote na barua ya kuomba hati aliandika lakini kila akienda anaambiwa aondoke tu atapigiwa simu. NAOMBA TUSAIDIANE KUPATA HAKI YA HUYU MAMA
Atapewa Na Endapo Wanangoja Kuuziana Wstaumbuka Sasa, Tanzania Shida Sana
Tawi Lao Lipo Hapo RoundAbout Sengerema
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…