NMB wakwamisha Mpango wa Tonetone ya CHADEMA. Bado Vodacom

NMB wakwamisha Mpango wa Tonetone ya CHADEMA. Bado Vodacom

Sasa hivi huwezi kutuma hela za Tonetone kupitia NMB. Ukituma hela haiendi. Ni mpango wa kukwamisha CHADEMA isifikie lengo la Milioni 334. Je, na Vodacom watagoma kutumia huduma yao?

Dah. Inasikitisha Sana
 
Watanzania sisi tuna matatizo ya akili aisee, nmb siku tatu mfululizo walisema Kutakuwa na ufundi ila bado watu wanalalamika utadhani hawakupewa taarifa

Ah kmmk aliyetuloga sisi alituweza kudadeki wallah
ulilogwa peke yako. Tangazo ndio nini nyoko? Haliondoi uwezekano wa hila
 
Kweli kabisa nilitaka niandike umeniwahi ..... NMB wamezuia NMB mkononi wiki ya pili sasa nia ni kukwamisha tone tone ya CHADEMA na kwa hili wamezuia ma milioni mengi sana ... nadhani ni mpango mkakati wa Serikali
Kwanini huamini kwamba ni changamoto ya mtandao tu ?..
 
Sasa huduma karibu zote hazipo sawa, mbona muhisi ni sababu ya CDM wakati walishatoa tangazo
Chadema wakiambiwa huwa hawajielewi wanaishia kutukana watu.

Hapo wanahisi kama walengwa ni wao kumbe ni maswala ya kuboresha huduma ikiwa ni pamoja na hiyo akaunti yao.

Hawa watu ni wapumbavu sana wanaona sifa kugombana na kila kitu na kila mtu sijui ikatokea bahati mbaya wakaingia madarakani watatumia nini maana kila kitu utakuta washakiharibu.
 
Sasa hivi huwezi kutuma hela za Tonetone kupitia NMB. Ukituma hela haiendi. Ni mpango wa kukwamisha CHADEMA isifikie lengo la Milioni 334. Je, na Vodacom watagoma kutumia huduma yao?
Ushauri wangu. Chadema tumieni bank za kimataifa. Achaneni na hawa NMB. CRDB. Hizi ni bank za kijinga sana z
 
Chadema wakiambiwa huwa hawajielewi wanaishia kutukana watu.

Hapo wanahisi kama walengwa ni wao kumbe ni maswala ya kuboresha huduma ikiwa ni pamoja na hiyo akaunti yao.

Hawa watu ni wapumbavu sana wanaona sifa kugombana na kila kitu na kila mtu sijui ikatokea bahati mbaya wakaingia madarakani watatumia nini maana kila kitu utakuta washakiharibu.
Unajua TZ hii si kwamba watu wanaitaka CCM wameacha tu watawale sababu wengine wapo hovyo. Ukihoji kitu kwa hoja unatukanwa, wakija kushika dola tukiuliza watatufunga au kutunyonga kabisa
 
Hili nilitarajia kutokea kwenye hii "serikali" dhalimu inayowapa raia "kesi" za uhaini na ugaidi
 
Kuna watu mna akili finyu sana halafu mnajiona mna akili kisa mnashabikia chama fulani. Marekani kuna matukio mengi yenye viashiria vya ugaidi yametokea mbona chama pinzani hakikuambia FIFA wasipeleke Kombe la Dunia? Kuwepo viashiria vya ugaidi havizuii vitu vingine kuendelea. Tumieni muda kujielimisha kuliko kuwa mnaropoka na kudandia kila mada kwa mihemko. Mnaonekana hamna agenda wala mipango ya muda ukiacha kubwabwaja na kutumika na wajinga. Acheni kuwa USEFUL IDIOTS, mnakera sana
Sasa unafananisha Marekani na Tanzania. Hivi kichwani mwenzetu una ubongo au makamasi
 
Yule CEO anatoka pale karibu na multi choice
 
Watanzania sisi tuna matatizo ya akili aisee, nmb siku tatu mfululizo walisema Kutakuwa na ufundi ila bado watu wanalalamika utadhani hawakupewa taarifa

Ah kmmk aliyetuloga sisi alituweza kudadeki wallah

Tatizo kubwa ni unyu🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎 ndiomana leo kumwambia mtu ww Mtoto na kumwambia ww utakuwa Chadema ni sawa!

Manake ni maneno mawili yenye maana moja✍️
 
Wewe ndo una makamasi, mlishajiona kushabikia chadema ndo akili. Tutoleeni upuuzi wenu, nchi ni yetu sote. Yaani mnakuwaga kama mafala akianzisha mmoja wote mnabeba bila kufikiria kama manyumbu. Zito akukosea kuwaita nyumbu

Zitto Abarikiwe sana🙏
 
NMB wanafanya mantainance ya Core Banking System ambayo huwa inachukua muda kidogo na uzuri walishatoa Taarifa. Kesho huduma zitaanza kurejea kama kawaida

Basi lengo kuchangia ni kutoa lawama tu tunakwamishwa kuchangia 🫎🫎🫎

wangekuwa na nia mbona siku moja ingetosha kumaliza uchangiaji👈

Wapo kupeleka lawama kwengine kukwepa kuchangia😜😜
 
Back
Top Bottom