Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
Mleta mada naona umeamua kuwapa point za mezani chawa maama NMB haifanyi kazi kwenye miamala yote siyo ya tonetone pekee na kuna sehemu niliona tangazo kutakuwa na sijui marekebisho.
Sasa hivi huwezi kutuma hela za Tonetone kupitia NMB. Ukituma hela haiendi. Ni mpango wa kukwamisha CHADEMA isifikie lengo la Milioni 334. Je, na Vodacom watagoma kutumia huduma yao?