Mm nikisema yumkin wachangiaji wa Chadema wenye Moyo wa kweli waliwapoteza kwenye mipango ya Kukinukisha hasara kubwa kwa Taifa lkn pia hasara zimeanza kuonekana ndani ya Chadema yenyewe!!
Ili uwe kiongozi unatakiwa kupima mambo kwa uwono
mkubwa sana 🤔🤔🤔
Mzee mbowe alikuwa makini sana kulinda rasilimali watu ndani ya CHADEMA👈
Chama ni watu ukikosa rasilimali watu manake Chama kitayumba na kufa chenyewe👈
Uwezo wa mwenyekiti wasasa wa Chadema kiakili mnaujua yeye kajiwazia yeye na
viongozi wenzie tu👈
Namnukuu ndugu Lissu 🦘
kwani Watatuuwa hawawezi kutuuwa sanasana nitakamatwa kwa uhaini Sababu kitendo kile kinamaanisha kuasi Serikali👈
Mwenyekiti wa Chama apo hajazungumzia angalizo kuusu rasilimali watu ambao ndio mtaji muhimu kwenye Chama chochote cha Siasa kakuta rasilimali watu wenye utayali mkubwa kabisa👈
JE iyo rasilimali watu kaitumia vizuri kweli kaitumia kwa faida ya nani ‼️
Mfano CCM ni Chama Tawala kwasababu ni Chama Tawala manake kwasasa kinatawala Watanzania wote
Lkn Serikali ya CCM ipo makini sana kuusu rasilimali watu yani wanaCCM mana wanaCCM ndio msingi wa kuwepo neno Chama Tawala👈
Leo Chadema inaangaika kuchangisha pesa kidogo tu
Michango imekwama!!
Ktk yale maandamano ni wazi %90 walikuwa wafuasi wa CHADEMA kindakindaki waliolindwa na Mzee mbowe kwa mda mrefu 👈
Mwana CCM hasingeshiriki kuandamana kwafaida ya
Chadema👈
Nasema kweli 👇
Kwasasa Chadema wapo ICU
Wamechagua wenyewe kiongozi mwenye majeraha mengi moyoni mtu kama uyo anawaza zaidi mapambano👈
bado. Binafsi rohoo inaniuma sana kuwapoteza watanzania wenzetu 500+
Hoja kama leo tungekuwa na kiongozi mfano wa Mzee mbowe pale Chadema👈
najiapiza kwa Mungu Siasa ndani ya Chadema isingechukua rohoo zote zile 500+
Manake leo Familia mia 500+ zingekuwa na wapendwa wao majumbani mwao👈
ONYO kwasasa wanadema wote chini ya Mwenyekiti wenu ndugu Tundu Lissu. AKA Savimbi w TZ
mnatakiwa kujiongeza kwakutumia msemo wa Mzee Jakaya kikwete Akili za kuazima changanya
na zako ✍️