NMB wamenifanyia uhuni; wamechukua hela yangu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Nilikuwa na million na kitu

Salio la account yako inayoishia na 9740 ni TZS 1,198,940 tarehe 2022/01/22 17:01:38. Kwa msaada, tupigie BURE 0800 002002. Kumb EC101201775871

Nikatoa laki nne TU nikitegemea itabaki laki Saba na kitu.leo nacheki salio nakuta pesa ndogo

Salio la account yako inayoishia na 9740 ni TZS 485,540 tarehe 2022/01/24 18:31:53. Kwa msaada, tupigie BURE 0800 002002. Kumb EC101205397096
Sasa sijaelewa Nini kimetokea msaada tafadhali nifanyeje.

Updates

Nimerudishiwa hela yangu na wakala

Ndege John nimekuona kwenye sredi ingine unatukana tukana tu.

Ni dhahir umelewa.

Hebu kalale kesho fatilia transactions zote ulizofanya hasa kama umekaa na watoto wazuri wenye phone covers za tupaka na tundala twenye manyoa na tubegi mgongoni.

Utajua hujui🤣🤣
 
Mkuu punguza jazba,Kwa msaada umepewa kabisa namba halafu unalalamika,ungekuwa umepiga hujasaidiwa sawa......ila kwasasa unaonyesha mapungufu yako
Nilikuwa na million na kitu

Salio la account yako inayoishia na 9740 ni TZS 1,198,940 tarehe 2022/01/22 17:01:38. Kwa msaada, tupigie BURE 0800 002002. Kumb EC101201775871

Nikatoa laki nne TU nikitegemea itabaki laki Saba na kitu.leo nacheki salio nakuta pesa ndogo

Salio la account yako inayoishia na 9740 ni TZS 485,540 tarehe 2022/01/24 18:31:53. Kwa msaada, tupigie BURE 0800 002002. Kumb EC101205397096
Sasa sijaelewa Nini kimetokea msaada tafadhali nifanyeje.
 
Nilikuwa na million na kitu

Salio la account yako inayoishia na 9740 ni TZS 1,198,940 tarehe 2022/01/22 17:01:38. Kwa msaada, tupigie BURE 0800 002002. Kumb EC101201775871

Nikatoa laki nne TU nikitegemea itabaki laki Saba na kitu.leo nacheki salio nakuta pesa ndogo

Salio la account yako inayoishia na 9740 ni TZS 485,540 tarehe 2022/01/24 18:31:53. Kwa msaada, tupigie BURE 0800 002002. Kumb EC101205397096
Sasa sijaelewa Nini kimetokea msaada tafadhali nifanyeje.
SMS haikukuonesha umetoa ngapi na imebaki ngapi?

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Ndege John nimekuona kwenye sredi ingine unatukana tukana tu.

Ni dhahir umelewa.

Hebu kalale kesho fatilia transactions zote ulizofanya hasa kama umekaa na watoto wazuri wenye phone covers za tupaka na tundala twenye manyoa na tubegi mgongoni.

Utajua hujui[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yaani niwe na 1M kwenye akaunti niitoe? Ah wee
 
Nenda chapu chapu kwenye office zao mkuu wataipiga sasa hivi na hio iliyobaki ukizembea
 
Hiyo ndotabia Yao km ni kautaratibu na wanajua watu wengi hawafatilii haya mambo ukiwabana kene statement wanakaujanja kao Fulani huko watachomoka sema wamekupiga pesa nyingi so omba statement ili uanzie hapo kujua nn kinaendelea.
 
Nilikuwa na million na kitu

Salio la account yako inayoishia na 9740 ni TZS 1,198,940 tarehe 2022/01/22 17:01:38. Kwa msaada, tupigie BURE 0800 002002. Kumb EC101201775871

Nikatoa laki nne TU nikitegemea itabaki laki Saba na kitu.leo nacheki salio nakuta pesa ndogo

Salio la account yako inayoishia na 9740 ni TZS 485,540 tarehe 2022/01/24 18:31:53. Kwa msaada, tupigie BURE 0800 002002. Kumb EC101205397096
Sasa sijaelewa Nini kimetokea msaada tafadhali nifanyeje.
Makato yao ya service charge na kila kity
 
Itakuwa wamechukuwa chao iwapo ulipata huduma ya advance salary. Tuwe makini maisha magumu sana unatumia fedha halafu bado unahesabu kuwa unayo.
 
Back
Top Bottom