Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Bro nikiwa na 20K mfukoni njaa haiumiSasa utakula mawe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro nikiwa na 20K mfukoni njaa haiumiSasa utakula mawe?
Shukrani mkuu ulikuwa sahihiKama ulitoa pesa kwa wakala itakuwa ilitoka mara mbili, wapigie au Rudi kwa wakala
Huwa hawaonyeshi..nashukuru nimerudishiwa hio pesaSMS haikukuonesha umetoa ngapi na imebaki ngapi?
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Mwongo wewe
Jitoe na huduma ya spend to save kupitia Atm yeyote iliyo karibu nawe
Itakua ashapata jibu zilipoenda izo ela
Nenda kaombe bank statement utakuwa ilipoenda mkuu
Aisee pole
Mkuu punguza jazba,Kwa msaada umepewa kabisa namba halafu unalalamika,ungekuwa umepiga hujasaidiwa sawa......ila kwasasa unaonyesha mapungufu yako