NMB wamenifanyia uhuni; wamechukua hela yangu

Hiyo ndotabia Yao km ni kautaratibu na wanajua watu wengi hawafatilii haya mambo ukiwabana kene statement wanakaujanja kao Fulani huko watachomoka sema wamekupiga pesa nyingi so omba statement ili uanzie hapo kujua nn kinaendelea.
Acha kuongea siasa, Kema hela zako zinaibiwaga na ushahid unao nenda mahakamani kadai compensations otherwise ni porojo tu za vijiweni.
 
😬😬😬😬Isije ikawa uliingiza hela nyingine kwenye yale ma 'vibes' yako na watoto wakali Club, halafu ukasahau kuiweka kwenye hesabu! Maana kuna wakati huwa wanakuvuruga kweli kweli!

NB: Nenda benki kachukue bank statement ya mwezi husika. Itaonesha kila kitu. Usilalamike tu bila ushahidi. Bank huwa hazina longolongo. Kila kitu kitaonekana kwenye hiyo bank statement!

Yaani hata ukiangalia tu salio, bado inaonekana na makato yake.
 
Hiyo ndotabia Yao km ni kautaratibu na wanajua watu wengi hawafatilii haya mambo ukiwabana kene statement wanakaujanja kao Fulani huko watachomoka sema wamekupiga pesa nyingi so omba statement ili uanzie hapo kujua nn kinaendelea.
Wacha kuchafua taasisi za watu bhana! Ndiyo tabia yao katika nini? Huo ushauri wa kwenda ku print bank statement, ndiyo suluhisho pekee. Kila kitu kitaonekana humo.

Hakuna pesa inayokatwa na bank halafu isiwe na sababu. Yaani ipotee tu from nowhere! Hilo halipo.
 
Watu huwa wanafundishanaga sana ujinga wa vijiweni, kuna mzee namjua aliibiwa kwenye akaunti yake zaidi ya 30M ambazo zilikuwa zinatolewaga kidogo kidogo kupitia ATM na mobile money transfers na kuanza kutuhumu bank wezi. Mzee kucharuka ikabidi ashauriwe na watu kwenda bank na polisi kulalamika, polisi walivyoanza uchunguzi bank wakaleta picha za utoaji pesa kwenye ATM, kuangalia kwenye picha za camera kumbe mwanaye 🤣 🤣 .Akaona isiwe ishu ikabid aachane na kesi kimyakimya na msamaha juu
 
😂😂😂😂😂😂
 
Kaombe bank statement ni wezi hao wazoefu, wanajua watu wengi huwa hawafuatilii. Niliwahi kutoana nao upepo hadi wakarudisha hela yangu.
 

[emoji1787]
 
Jitoe na huduma ya spend to save kupitia Atm yeyote iliyo karibu nawe
 
Et covers za tupaka na tundala twenye manyoa na tubegi mgongoni. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mm nikikutana nao wasichana Wa hivyo napita mbali Sana, visumbufu balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…