Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimewahi ila hilo neno linahusika vipi kwenye kunichelewesha🤔Hujawai kuchelewa kupata huduma mahali
Africa hata useme unaenda na mda utacheleweshwa tu mwisho wa siku utajikuta umejaa kwenye mfumo wa uchelewaji tu.Ulicheleweshwa kwa sababu waliona hakukuwa na uharaka huo
Na una kiherehere 🤣🤣 ,mshahara wenyewe mdogo🤣Na ukiwahi utaonekana unajipendekeza 😅
na mke mpenzi atakimbia multipier effect 🤕😅😅😅😅na utafukuzwa na kazi
Life begins at 40 - maana yake, hadi kufikia umri huo uwe na funguo 3 (siku hizi zimefika 4, na nasikia wanafanya mchakato ziongezwe hadi 5 au 6):Life Begins at Forty ... ,mpaka 40 mtu yuko single 😀😀, kastaafu first born yuko standard 7 ,pension yote kasomeshea watoto sekondari.