Kipenda roho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 488
- 939
Mapambio yameisha mnakuja na mapya.
Kesho hamkawii kumuita "mungu".
miungu oyeee ! [emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapambio yameisha mnakuja na mapya.
Kesho hamkawii kumuita "mungu".
Hilo la kuwashawishi na kuwaondoa hofu wanaCCM wenzake wakubali na kuamini kuwa Tanzania ni yetu sote jinsia, dini, makabila na vyama vyote vya siasa ndilo litakalomletea heshima ndani na nje ya nchi. Kazi hiyo ni yeye tu pekee anaeiweza kwakuwa ni yeye aliyewaaminisha kwa mara ya kwanza watanzania kuwa hata mwanamke anaweza kuwa Rais wa nchi na mambo yakaenda kwa uzuri. Hivyohivyo ni yeye wa kwanza atakaye waondoa hofu na woga wanaCCM kuwa hata wapinzani ni watanzania pia kama wakichaguliwa na wananchi sio dhambi pia.Ni sawa lakini woga upo. Sababu ni kwa nia yake njema inaweza kuathiri chama chake.
So atapimwa kwa matokeo hasa kuonekana kwa haki, demokrasia na amani ya kweli bila kutia shaka yoyote. Vigezo vikitimia atatunukiwa. Haiwezi kuwa maneno matupu. Katiba natume huru vitamsaidi kutimiza azma yake.
Rais Mama Samia akiendelea hivihivi na juhudi za kujali hali za wananchi wa kawaida na kukuza demokrasia nchini lazima atapata mojawapo ya zawadi za amani za Nobel au Mo Ibrahim, Inshallah.
Watu wanasema ukimsifu sana mgema anaweza kulitia maji tembo, lakini kwa mama Samia mimi ni miongoni mwa watu wa kawaida kabisa kwenye jamii wanaoiona nia yake njema kwa wananchi na Tanzania.
Kama sisi tutashindwa kumuona na kuona anachokifanya huenda watu wa mataifa mengine wakamuona na kumpa kumpongeza.
Namuombea kwa Mungu asilitie tembo maji nchi ielekee kule waliko watu wastaarabu.
Aifikishe Tanzania mahali ambapo Watanzania wanaweza kuongozwa na chama chochote kile, kukiondoa na kukirudisha tena madarakani bila tatizo wala shida yoyote.
Yaani aondoe janjajanja za kisiana ambazo huko mbele ya safari italiletea shida kubwa taifa.
Ahakikishe kuwa hakuna hata tone moja la maji ya mito, mvua na maziwa yanakwenda baharini kabla Watanzania wote kupatiwa maji safi.
Lazima zawadi ya Nobel itakuja Tanzania, inshallah.
Anaeza pata kweli kumbuka ana nyota Sana, akikosa hiyo basi ile ya Mo Ibrahim ataiweka kibindoni.
Hivi mnadhani hiyo Zawadi ya Mo Ibrahim, inapatikana kirahisi hivyo?Anaeza pata kweli kumbuka ana nyota Sana, akikosa hiyo basi ile ya Mo Ibrahim ataiweka kibindoni.
ccm ina wenyewe ila namjua mama anapoamua jambo lake huwa hayumbishwi.Rais Mama Samia akiendelea hivihivi na juhudi za kujali hali za wananchi wa kawaida na kukuza demokrasia nchini lazima atapata mojawapo ya zawadi za amani za Nobel au Mo Ibrahim, Inshallah.
Watu wanasema ukimsifu sana mgema anaweza kulitia maji tembo, lakini kwa mama Samia mimi ni miongoni mwa watu wa kawaida kabisa kwenye jamii wanaoiona nia yake njema kwa wananchi na Tanzania.
Kama sisi tutashindwa kumuona na kuona anachokifanya huenda watu wa mataifa mengine wakamuona na kumpa kumpongeza.
Namuombea kwa Mungu asilitie tembo maji nchi ielekee kule waliko watu wastaarabu.
Aifikishe Tanzania mahali ambapo Watanzania wanaweza kuongozwa na chama chochote kile, kukiondoa na kukirudisha tena madarakani bila tatizo wala shida yoyote.
Yaani aondoe janjajanja za kisiana ambazo huko mbele ya safari italiletea shida kubwa taifa.
Ahakikishe kuwa hakuna hata tone moja la maji ya mito, mvua na maziwa yanakwenda baharini kabla Watanzania wote kupatiwa maji safi.
Lazima zawadi ya Nobel itakuja Tanzania, inshallah.
Kuwapendelea wazenj na wanawake (The sunk Cost fallacy) kwenye uteuzi wake!Hahaha kwa lipi?
Labda ya familia yako, not from Stockholm!
Yani Lumumba ni matakataka kama taka taka nyingine.Hawajui ata criteria za tuzo za mo ibu ata za Nobel price.Yani ndio maana Magu alikuwa anawapiga za kwenye mapumbu mnabaki mnalalama kama mbwa aliekojolewaRais Mama Samia akiendelea hivihivi na juhudi za kujali hali za wananchi wa kawaida na kukuza demokrasia nchini lazima atapata mojawapo ya zawadi za amani za Nobel au Mo Ibrahim, Inshallah.
Watu wanasema ukimsifu sana mgema anaweza kulitia maji tembo, lakini kwa mama Samia mimi ni miongoni mwa watu wa kawaida kabisa kwenye jamii wanaoiona nia yake njema kwa wananchi na Tanzania.
Kama sisi tutashindwa kumuona na kuona anachokifanya huenda watu wa mataifa mengine wakamuona na kumpa kumpongeza.
Namuombea kwa Mungu asilitie tembo maji nchi ielekee kule waliko watu wastaarabu.
Aifikishe Tanzania mahali ambapo Watanzania wanaweza kuongozwa na chama chochote kile, kukiondoa na kukirudisha tena madarakani bila tatizo wala shida yoyote.
Yaani aondoe janjajanja za kisiana ambazo huko mbele ya safari italiletea shida kubwa taifa.
Ahakikishe kuwa hakuna hata tone moja la maji ya mito, mvua na maziwa yanakwenda baharini kabla Watanzania wote kupatiwa maji safi.
Lazima zawadi ya Nobel itakuja Tanzania, inshallah.
Acha kumezeshwa maneno nawe unatoa bila kuchanganua.Kwahiyo kudai katiba mpya ndiyo muhimu kwenu kuliko kumpatia maji kila mtanzania?
Hivi leo hii tukienda kwa wananchi huko mikoani tuwaulize wachague mwaka huu 2022 wapatiwe kimojawapo kati ya maji safi na Katiba mpya unadhani watachagua nini?
Katiba iliyoko sio mbaya wabaya ni wanaotakiwa kuilinda na kuishi. Hata Marekani wana tume huru kwelikweli ya uchaguzi lakini umeona Trump aligoma kuyatambua matokeo na kugoma kuondoka Ikulu.
Tusidanganye watu wetu kuwa katiba yetu ndiyo chanzo cha hali mbaya walizokuwa nazo. Kenya, Zambia, Malawi, DRC wana katiba nzuri na tume huru kwelikweli za uchaguzi lakini hali zao ni heri ya sisi.
Tatizo letu ni uongozi sio katiba, na Rais Samia analifahamu hilo.
Unapodai vitu ambavyo sio tatizo kwa wananchi wala kipaumbele chao kunasababisha hata kiongozi wao huyo akikamatwa kama alivyo kamatwa Mh. Mbowe na kwenda jela wananchi wa kawaida wataendelea na shughuli zao zinazowahangaisha kila siku.
Huwezi kuwaona wanaandama wala kuchoma matairi barabarani kwakuwa hawaoni maana ya kile unachokidai hadi ukamatwe.
It’s far fetched! Amefanya nini so far to deserve such an international recognition? Pengine sana sana Mo Ibrahim prize if she manages to get a new constitution before 2925!..anaweza kupewa Nobel prize.
..waziri mkuu wa ETHIOPIA alipewa Nobel Peace Prize mwaka 2019.
..ni bahati mbaya kwamba ameshindwa kutatua tofauti kati ya serikali yake na jimbo la Tigray kwa njia za amani na kupelekea vita ya wenyewe kwa wenyewe.
..I agree with your points.It’s far fetched! Amefanya nini so far to deserve such an international recognition? Pengine sana sana Mo Ibrahim prize if she manages to get a new constitution before 2925!
Lakini akimsikiliza Kikwete na genge lake kuwa afanye Janja Janja mpaka apate Urais ndio alete Katiba mpya hata hiyo ya Mo Ibrahim ataikosa!
Karata ya katiba mpya ndio itakayompa international recognition ; hivyo anatakiwa aicheze very close to her heart given that she has many enemies among the die hards in ccm who are hell bent against me idea of a new constitution...I agree with your points.
..lakini usisahau kwamba, kuwa Ssh raisi wa tanzania, na mwanamke, kunamsaidia sana.
..hiyo ni fursa ambayo anatakiwa aichangamkie kwa manufaa yake binafsi na kwa nchi.
sawa tu kama hiyo itasaidia kusambaza maji, umeme, haki, demokrasia, na uhuru wa habari nchi nzima. Kuna haja gani kuwa na gavana mtanganyika mwizi? kwani wakati watu wasiojulikana wakipoteza watu gavana na CDF walikuwa ni kabila gani? kwangu mm sintajali rangi ya paka kama anakamata panya.Kuwapendelea wazenj na wanawake (The sunk Cost fallacy) kwenye uteuzi wake!
Hivi karibuni atateua Gavana wa Bot mzenj, muislam na mwanamke!
Akilondoka Mabeyo, CDF atateuliwa mzenj!!!
pale hakuna mgogoro, chanzo kikuu cha mgogoro ule ni maji ya mto Nile..anaweza kupewa Nobel prize.
..waziri mkuu wa ETHIOPIA alipewa Nobel Peace Prize mwaka 2019.
..ni bahati mbaya kwamba ameshindwa kutatua tofauti kati ya serikali yake na jimbo la Tigray kwa njia za amani na kupelekea vita ya wenyewe kwa wenyewe.
kwani ww ni mwanakamati kwenye bodi za tuzo hizo? hebu tuletee vigezo mkuu ili tumpime mama sisi wenyewe kwanza.Yani Lumumba ni matakataka kama taka taka nyingine.Hawajui ata criteria za tuzo za mo ibu ata za Nobel price.Yani ndio maana Magu alikuwa anawapiga za kwenye mapumbu mnabaki mnalalama kama mbwa aliekojolewa
Tatizo ni kwamba JPM na Samia ni kama na giza na mwanga, hivyo tofauti yao inaonekana haraka zaidi kwa wengi,Acha kumezeshwa maneno nawe unatoa bila kuchanganua.
Wananchi ndio waajiri wa Wanasiasa, wao ndio wanaopasa kuwambia viongozi nini wafanye Kwa niaba Yao.
Mwananchi Si mwanao kwamba umwabie chagua kati ya peremende na ice cream nini nikuletee!!
Eti umwambae BOSS wako, Chagua kati ya maji na Katiba mpya kipi muhimu nikutimizie😠
Acha DHARAU na kuwatukana Wananchi. Wao ndo mnatakiwa muwaulize nini wanataka na nini hawataki.