Nobel Prize inamnyemelea Rais Samia

Hilo la kuwashawishi na kuwaondoa hofu wanaCCM wenzake wakubali na kuamini kuwa Tanzania ni yetu sote jinsia, dini, makabila na vyama vyote vya siasa ndilo litakalomletea heshima ndani na nje ya nchi. Kazi hiyo ni yeye tu pekee anaeiweza kwakuwa ni yeye aliyewaaminisha kwa mara ya kwanza watanzania kuwa hata mwanamke anaweza kuwa Rais wa nchi na mambo yakaenda kwa uzuri. Hivyohivyo ni yeye wa kwanza atakaye waondoa hofu na woga wanaCCM kuwa hata wapinzani ni watanzania pia kama wakichaguliwa na wananchi sio dhambi pia.

Yaani Mama Samia ndiye mtu atakayekamilisha ile ndoto ya Mwl Nyerere iliyomfanya akubali demokrasia ya vyama vingi Tanzania. Mwl Nyerere alitaka vyama vikubwa 2 vinavyoweza kupishana kutoka na kuingia Ikulu ili kuweka mizania katika kuwahudumia wananchi kwa uadilifu. Kama mama Samia na Dr. Hussein Mwinyi watashindwa kuifikisha tanzania kwenye aina hiyo ya demokrasia basi tanzania itatuchukua miaka mingi tena kufikia hatua hiyo.
 
Akiipata basi Putin naye atapata yake.
 
Binafsi kuna namna naona huyu Mama hataki malumbano na wapinzani wake kiviile, Sema tu ni vile Maradaka matamu.

Ila kwa kweli Giza limeanza kuondoka nchini mwetu.. Hizi kelele za kudai katiba mpya enzi za Marehemu hazikuwa zinasikika kabisa..
 
Kijana hivi unajua vigezo vya Nobel Prize weye ama umekuja kufurahisha jamvi.
 
Anaeza pata kweli kumbuka ana nyota Sana, akikosa hiyo basi ile ya Mo Ibrahim ataiweka kibindoni.
Anaeza pata kweli kumbuka ana nyota Sana, akikosa hiyo basi ile ya Mo Ibrahim ataiweka kibindoni.
Hivi mnadhani hiyo Zawadi ya Mo Ibrahim, inapatikana kirahisi hivyo?

Ikumbukwe kuwa tokea kuanzishwa kwake, aliueambulia Zawadi hiyo Katika kipande hiki cha Afrika Mashariki na Kati ni Rais wa zamani wa Mozambique, Joachim Chissano
 
ccm ina wenyewe ila namjua mama anapoamua jambo lake huwa hayumbishwi.
 
Kijana hivi unajua vigezo vya Nobel Prize weye ama umekuja kufurahisha jamvi.
kwani ww ni mwanakamati wa hiyo? achana na mm, niambie namna Rais wa Ethiopia wa sasa alivyoipata kama wewe unajua.
 
Hahaha kwa lipi?
Kuwapendelea wazenj na wanawake (The sunk Cost fallacy) kwenye uteuzi wake!
Hivi karibuni atateua Gavana wa Bot mzenj, muislam na mwanamke!
Akilondoka Mabeyo, CDF atateuliwa mzenj!!!
 
Labda ya familia yako, not from Stockholm!

..anaweza kupewa Nobel prize.

..waziri mkuu wa ETHIOPIA alipewa Nobel Peace Prize mwaka 2019.

..ni bahati mbaya kwamba ameshindwa kutatua tofauti kati ya serikali yake na jimbo la Tigray kwa njia za amani na kupelekea vita ya wenyewe kwa wenyewe.
 
Yani Lumumba ni matakataka kama taka taka nyingine.Hawajui ata criteria za tuzo za mo ibu ata za Nobel price.Yani ndio maana Magu alikuwa anawapiga za kwenye mapumbu mnabaki mnalalama kama mbwa aliekojolewa
 
Acha kumezeshwa maneno nawe unatoa bila kuchanganua.

Wananchi ndio waajiri wa Wanasiasa, wao ndio wanaopasa kuwambia viongozi nini wafanye Kwa niaba Yao.

Mwananchi Si mwanao kwamba umwabie chagua kati ya peremende na ice cream nini nikuletee!!

Eti umwambae BOSS wako, Chagua kati ya maji na Katiba mpya kipi muhimu nikutimizie😠

Acha DHARAU na kuwatukana Wananchi. Wao ndo mnatakiwa muwaulize nini wanataka na nini hawataki.
 
..anaweza kupewa Nobel prize.

..waziri mkuu wa ETHIOPIA alipewa Nobel Peace Prize mwaka 2019.

..ni bahati mbaya kwamba ameshindwa kutatua tofauti kati ya serikali yake na jimbo la Tigray kwa njia za amani na kupelekea vita ya wenyewe kwa wenyewe.
It’s far fetched! Amefanya nini so far to deserve such an international recognition? Pengine sana sana Mo Ibrahim prize if she manages to get a new constitution before 2925!
Lakini akimsikiliza Kikwete na genge lake kuwa afanye Janja Janja mpaka apate Urais ndio alete Katiba mpya hata hiyo ya Mo Ibrahim ataikosa!
 
..I agree with your points.

..lakini usisahau kwamba, Ssh kuwa raisi wa tanzania, na mwanamke, kunamsaidia sana.

..hiyo ni fursa ambayo anatakiwa aichangamkie kwa manufaa yake binafsi na kwa nchi.
 
..I agree with your points.

..lakini usisahau kwamba, kuwa Ssh raisi wa tanzania, na mwanamke, kunamsaidia sana.

..hiyo ni fursa ambayo anatakiwa aichangamkie kwa manufaa yake binafsi na kwa nchi.
Karata ya katiba mpya ndio itakayompa international recognition ; hivyo anatakiwa aicheze very close to her heart given that she has many enemies among the die hards in ccm who are hell bent against me idea of a new constitution.
 
Kuwapendelea wazenj na wanawake (The sunk Cost fallacy) kwenye uteuzi wake!
Hivi karibuni atateua Gavana wa Bot mzenj, muislam na mwanamke!
Akilondoka Mabeyo, CDF atateuliwa mzenj!!!
sawa tu kama hiyo itasaidia kusambaza maji, umeme, haki, demokrasia, na uhuru wa habari nchi nzima. Kuna haja gani kuwa na gavana mtanganyika mwizi? kwani wakati watu wasiojulikana wakipoteza watu gavana na CDF walikuwa ni kabila gani? kwangu mm sintajali rangi ya paka kama anakamata panya.
 
..anaweza kupewa Nobel prize.

..waziri mkuu wa ETHIOPIA alipewa Nobel Peace Prize mwaka 2019.

..ni bahati mbaya kwamba ameshindwa kutatua tofauti kati ya serikali yake na jimbo la Tigray kwa njia za amani na kupelekea vita ya wenyewe kwa wenyewe.
pale hakuna mgogoro, chanzo kikuu cha mgogoro ule ni maji ya mto Nile
 
Yani Lumumba ni matakataka kama taka taka nyingine.Hawajui ata criteria za tuzo za mo ibu ata za Nobel price.Yani ndio maana Magu alikuwa anawapiga za kwenye mapumbu mnabaki mnalalama kama mbwa aliekojolewa
kwani ww ni mwanakamati kwenye bodi za tuzo hizo? hebu tuletee vigezo mkuu ili tumpime mama sisi wenyewe kwanza.
 
Tatizo ni kwamba JPM na Samia ni kama na giza na mwanga, hivyo tofauti yao inaonekana haraka zaidi kwa wengi,

Sasa hiv nchi imetulia tuliiii kiasi kwamba hata panya akipita huko nje ni rahisi kusikia nyao zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…