Nobel Prize inamnyemelea Rais Samia

Hatuwezi kupata katiba mpya before 2025, ila huyu mama lazima ataleta katiba mpya kabla hajaondoka madarakani, huyu mama ana exposure kubwa, ni mwelewa na ni mpenda sifa. Mchakato unaweza kuanza mwaka 2025 na kumalizika 2026. Sasa hv wacha apambane na kupanda kwa maisha ya wananchi,
 
Tatizo ni kwamba JPM na Samia ni kama na giza na mwanga, hivyo tofauti yao inaonekana haraka zaidi kwa wengi,

Sasa hiv nchi imetulia tuliiii kiasi kwamba hata panya akipita huko nje ni rahisi kusikia nyao zake
Nchi ngumu hii!!
 
Hatuwezi kupata kwasababu ya watu anaowasikiliza kwani kuchelewa kwa katiba ndio neema yao!! Lakini ningemshauri atupatie katiba kutoka rasimu ya Warioba ili iwe vigumu kumpinga 2025!
 
Wampe tu ila nashangaa
 
Nchi ngumu hii!!
Hakuna viroba vyenye watu vinavyoelea huko kwenye fukwe zetu, hili ni jambo kubwa sana kwa dunia, kudai kuwa Tanzania hakuna COVID-19 ni jambo kubwa sana na hatari kwa dunia , mtu kupigwa risasi nyingi na kwenda kuponea hili nalo ni jambo la kidunia, kufungilia vyama vya siasa na habari kufanya kazi zao hili nalo sio jambo dogo kidunia. Yaani lazima wampe TU zawadi mojawapo au zote
 
Ninachomwomba huyu mama,anapoondoka kurudi Zanzibar anavomaliza uongozi ,auvunje Muungano tu aondoke na Zanzibar yao(kupe)
 
Ninachomwomba huyu mama,anapoondoka kurudi Zanzibar anavomaliza uongozi ,auvunje Muungano tu aondoke na Zanzibar yao(kupe)
Huu muungano hayuko wa kuuvunja, unajilinda wenyewe. Anaetaka kuuvunja atavunjwa kabla hajauvunja.
 
Huu muungano hayuko wa kuuvunja, unajilinda wenyewe. Anaetaka kuuvunja atavunjwa kabla hajauvunja.
Upo sahihi, mambo mengi Africa yanajilinda yenyewe, hata hii mipaka yetu ya nchi za Africa inajilinda yenyewe kwa asilimia kubwa.
Ni kama vile amani ya Tanzania ,kutokana na misingi iliowekwa inajilinda yenyewe lakini sio kwa ajili ya vyombo vya usalama na ulinzi kwa asilimia kubwa.
 
Siku akiipata nitahamia Somalia!
 
Unafikri hizo tuzo ni za kuamka tu nakupewa. Angalia waliwahi kupata wanasifa zipi katika mataifa yao kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…