Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
- Thread starter
-
- #41
Ha ha haa...kwa hiyo kila mmoja yuko anapasha kwa ajili ya ingwe (round) ya pili.Rudi usome korea war,,North korea imeshapigana na marekani pamoja na washirika karibu 30,walichakazwa mpaka wakakubali suluhu,,technically bado wako vitani kwani kulikuwepo na cease fire tu,vita havikuisha
Usijikute msomi Sana.. afu siku hizi Kuna Google, YouTube nk.. unawezza ukaingia huko kuthibitishiwa data. Ama Kama una hasira Sana jinyonge ama fanya utafitiHii ndiyo jinsi ya kuthibitisha data?
Ndio Mkongwe hii dunia sio ya US peke yao kila Taifa lina mamlaka yake sio kupangiwa na hao mabeberu. Wakiamua hela yako iwe haina thamani wanaishusha au kuipandisha. Natamani 2030 Bongoland tufikie leval hiyo.viva kiduku Mungu akuzidishie maarifa na ujasiri
natamani mambo haya yafike
Iran
Venezuela
dunia ni yetu sotee hakuna kunyanyasana wala kupangiana namna ya kuishi wakati wee hupangiwi na mtuu
CNN=FAKE NEWSOhho anaumwa,mara hoo hali yake mbaya,huyu hapa mzima wa afya,katulia kaibuka na ICBM sijui akitulia tena ataibuka na nini.
View attachment 1597014
CCN tushawazoea,mimi habari ninazo ziamini ni za Aljazeera na app yake nime-install kwenye simu.Ila hawa CCN,BBC na Skynews mara nyingi habari zao kwa mataifa ambayo ni maadaui wa nchi zao zinakuwaga fake.CNN=FAKE NEWS
Alikuwepo lakini hakuwa na uwezo kama sasa, uwezo wa N.K. ni kutokana na kupuuzwa na Marekani, angethibitiwa haraka hasingegika huku.Kwani kipindi bush N.k ilikuwa haipo?
Hata Aljazeer walikuwa zamani sio siku hizi, wako bies sana hasa baada ya kuwekewa blockade na Saudia, Bahrain, UAE na Egypt! Kila siku ni kupiga propaganda dhidi ya maasimu wake!CCN tushawazoea,mimi habari ninazo ziamini ni za Aljazeera na app yake nime-install kwenye simu.Ila hawa CCN,BBC na Skynews mara nyingi habari zao kwa mataifa ambayo ni maadaui wa nchi zao zinakuwaga fake.
We jamaa wewe bogaz kabisa unavyothibitisha kama unafanya kazi pentagon.... Hiv unahisi marekani ni sehemu kama chato hiv au sio?US hawana mobile ICBM wanazo silo based ICBM,,zamani walikuwa nazo wakazidemote..
pia naye awezi kuweza kumzimisha kimTumrudishe bush hata kwa miaka miwili tu
Kwanini?pia naye awezi kuweza kumzimisha kim