North Korea yaonesha 'MONSTER' ICBM, Kombora kubwa mnoo la kinyuklia, katika military parade

Kwahiyo haya madubwana yote ni ya n. Korea??? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Kmmk... Hadi raha yaani usa huko walipo lazima wachanganyikiwe
Korea kaskazini imeshajihakikishia usalama,,hakuna nchi itadhubutu tena kuishambulia kwasababu za kijinga jinga
 

Sio kweli, mbona Fidel Castro aliye kuwa anatawala CUBA kwa miaka mingi, USA Administration specifically CIA walijaribu kumuua Castro mara hamsini lakini wakashindwa, kumbuka umbali wa CUBA kutoka pwani ya Merikani ni maili 90 tu!!

Sasa nini kilimtokea Rais Kennedy baada ya kufanya majaribio mengi ya kutaka kumuua Castro mpaka kufika hatua ya kumtuma former Girlfriend wa Castro ambaye alikuwa na asili ya Ujerumani - mama huyo alipo wasili Cuba kamwambia Castro mpango mzima wa Kennedy na CIA wa kumumaliza Fidel - baada ya miezi michache Kennedy ndiye kajikuta anapoteza maisha kwa kupigwa risasi na professional assassins!!

Bottom line is: Msichukulie regime ya North Korea poa hata kidogo, North Korea ndio waliwafundisha Wairan jinsi ya kuunda high accurate ballistic missiles walizo tumia kushambulia military bases za Merikani huko Iraq, sina shaka Wakorea wamekwisha wafundisha Wairan jinsi ya kuunda mpaka mabomu aina ya thermonuclear.
 
mkuu watu wengi wanaumwa Trump syndrome!


Clinton ndiye alieanza kufanya makosa kwenye masuala ya ghuba ya korea, akaja Bush, Obama ndio kabisaaaaa kawasaidia mpk Irani kufika walipofika!
 
Rudi usome korea war,,North korea imeshapigana na marekani pamoja na washirika karibu 30,walichakazwa mpaka wakakubali suluhu,,technically bado wako vitani kwani kulikuwepo na cease fire tu,vita havikuisha
some people on here are very dumb........ hivi wanadhani Trump na ex CIA chief (Pompeo) walikua wajinga kutaka diplomatic soln na NK?


kuna comment zingine unaishia kusoma na kucheka, tokea Clinton mpk leo US hajaivamia NK, watu wanadhani masihara.........
 
.......na kama sio US kuilinda S.K leo hii ingekua chini ya Kim[emoji23]
 
Korea kaskazini imeshajihakikishia usalama,,hakuna nchi itadhubutu tena kuishambulia kwasababu za kijinga jinga
Sure jamaa na wana guts simchezo πŸ˜‚. Hapo sasa kilichobaki wapambane tu kuimarisha uchumi wao
 
Well said.
 
Vita vya kuonesheana ubabe vishapitwa na wakati. Marekani anapigana vita vya kiuchumi tu (una nini nije nipige nichukue).
Vita vina gharama sana na ukumbuke pia nchi ina mahitaji yake. Uchukue pesa kwenye hazina ukapigane vita halafu hakuna faida? Amka na shituka ngozi nyeusi. Tupo kwenye ulimwengu wa "imperialism"
Marekani inaongozwa na jopo la watu wakati nchi kama Iran, Russia, China, North Korea n.k zinaongozwa na mtu mmoja. Kiduku akifa hata leo, nchi ndiyo inayumba hivyo kwasababu yeye ndiyo master plan. Ni suala la muda tu. Trump siyo mbumbu wala mjinga na ukumbuke Marekani huwa hawachagui Raisi ilimradi Raisi. Kila Raisi ana majukumu yake. Osama alilipua jengo la Marekani kipindi cha Bush lakini Obama alikuja kumuuua Osama.
Marekani huwa hapigani vita vya hasara hata siku moja.
Kila siku huwa nasema hapa kuwa Trump ni Rais mbumbumbu na muoga sana kuwahi kutokea marekani.Imagine hili bomu limetengenezwa ndani ya utawala wake.Hakuna Rais yoyote wa Marekani aliepita ambae atakubali huu upupu wa korea.
 
Marekani inaongozwa na jopo la watu wakati nchi kama Iran, Russia, China, North Korea n.k zinaongozwa na mtu mmoja. Kiduku akifa hata leo, nchi ndiyo inayumba hivyo kwasababu yeye ndiyo master plan.
Mkuu mbona watunywesha kahawa ya baridi!

North Korea imekuwepo na imemchachafya Marekani kabla hata ya huyo Kiduku kuzaliwa. Na kiongozi alipokufa, NK haikutetereka.

Kaa hivyo hivyo ukisubiria Kiduku afariki ili NK ianguke...utajikuta nawe watangulia kwenye ufalme wa bwana waiacha NK ikiendelea kutamalaki ktk anga za kimataifa.

Eti Iran yaongozwa na mtu mmojaπŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£ Huyo mtu mmoja toka miaka hiyo ya zilipendwa hajafa tu?
 
Nchi zinazoongozwa na akili ya mtu mmoja huwa hazina uchaguzi au zikifanya uchaguzi basi anateuliwa mtu yule yule kila mwaka. Mtu ana miaka 20 yupo madarakani na hakuna dalili ya kuachia ngazi mpaka afe. Iran, North Korea, Russia, China n.k zinaongozwa na akili za mtu mmoja kwahiyo nchi hizi huwa hazidumu ni suala la muda tu. Katika nchi hizi sheria huwa ni Raisi yaani sheria ndiyo raisi, raisi akisema fanya hivi wote wanafanya, hakuna kuuliza. Hapa ndiyo Marekani anawashinda kwasababu inaongozwa na jopo la watu na raisi anafuata maagizo tu.
Yupo wapo wapi Ghadafi na Libya yake? Cuba ya Fedro Castro bado ipo vile vile kama kipindi cha Fedro? Huyo North Korea au Iran ni suala la muda tu na usifikiri Trump ni mjinga. "All options are on the table" Ni suala la muda tu.
 
Inabidi hawa wakorea watufundishe kutengeneza haya madude sisi wana wao na nuclear pia kwa sababu materials tunayo
 
Ebu nitajie ni rais gani wa Iran ambaye amekaa madarakani kwa miaka angalau 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…