Norway imesema Itamkamata Netanyahu na waziri wake Gallant

Kutoka kushabikia vita kwamba Hamas wameupiga mwingi mpaka kutaka ICC iwasaidie kusitisha vita? Israeli itaendelea na vita vyake huko Gaza, mpaka Hamas wawe Eliminated kabisa huko Rafah. ICC is the toothless dog 🤔
Sasa makasiriko ya ninj kwanini sisi tuna nguvu gani ya kuiagiza Norway mkuu?
 
Sometimes we say This is very interesting story. Just imagine What is Norway before Israel? What is benefits for Israel Leaders to visit Norway? Wajafanye nini ? Kwa lipi?
Huo ni Mtego wa kutaka kushawishi nchi zingine nazo zijiingize Kwenye hicho kitanzi
Subiri Adhabu ipo njiani chap
Iran ashaanza Adhabu yake mengine yanakuja Mashabiki msiache kupiga makofi pia Kibao kikiendelea kugeuka
Ndio Mtaelewa maana ya Agano na Mungu.
Wewe haya mambo yamekuzidi uwezo .nakushauri usubiri jumapili mkajadiliane na walokole wenzako kanisani. Hii siyo mada ya kidini.
 
Kufuatia kibali cha mwendesha mashtaka wa ICC ya kuwakamata Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu na waziri wake wa Ulinzi bwana Yoav Gallant .nchi ya Norway imesema leo kuwa Viongozi hao wasithubutu kukanyaga Norway maana wakitia maguu tu watawakamata na kuwatia lockup.
---

Norway on Tuesday became the first European country to publicly announce that it will arrest Prime Minister Benjamin Netanyahu and Defense Minister Yoav Gallant if an arrest warrant ultimately is issued against them by the Hague Tribunal and they land on its territory.

Norway's Foreign Minister Espen Barth Eide said, a day after the dramatic statement by ICC prosecutor Karim Khan, that "if an arrest warrant is issued against Netanyahu and Gallant on behalf of the Hague Tribunal, we will be obliged to arrest them if they arrive in Norway."
Yeah right. Like Netanyahu and the other guy will be going to Norway anytime soon.
 
Mwendesha mashtaka wa ICC akihojiwa na CNN hapo jana anasema amepokea simu kutoka kwa kiongozi mmoja mkubwa wa nchi za magharibi akimwambia hiyo mahakama imeundwa kwajili ya kuwashughulikia viongozi wa nchi za Kiafrika. Waafrika tujitafakari.
 
Kufuatia kibali cha mwendesha mashtaka wa ICC ya kuwakamata Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu na waziri wake wa Ulinzi bwana Yoav Gallant .nchi ya Norway imesema leo kuwa Viongozi hao wasithubutu kukanyaga Norway maana wakitia maguu tu watawakamata na kuwatia lockup.
---

Norway on Tuesday became the first European country to publicly announce that it will arrest Prime Minister Benjamin Netanyahu and Defense Minister Yoav Gallant if an arrest warrant ultimately is issued against them by the Hague Tribunal and they land on its territory.

Norway's Foreign Minister Espen Barth Eide said, a day after the dramatic statement by ICC prosecutor Karim Khan, that "if an arrest warrant is issued against Netanyahu and Gallant on behalf of the Hague Tribunal, we will be obliged to arrest them if they arrive in Norway."
Na Ufaransa 😀
 
Na Ufaransa
 
Sasa Norway wangenyamaza ili hao wakitia miguu huko wawakamate? Mbona kusanuana tena?
 
Sijawahi sikia israel imeenda norway,hakuna interest zozote baina yao.
 
  • Thanks
Reactions: 511
Sometimes we say This is very interesting story. Just imagine What is Norway before Israel? What is benefits for Israel Leaders to visit Norway? Wajafanye nini ? Kwa lipi?
Huo ni Mtego wa kutaka kushawishi nchi zingine nazo zijiingize Kwenye hicho kitanzi
Subiri Adhabu ipo njiani chap
Iran ashaanza Adhabu yake mengine yanakuja Mashabiki msiache kupiga makofi pia Kibao kikiendelea kugeuka
Ndio Mtaelewa maana ya Agano na Mungu.
Mbona unaongea nadharia mfu!?
Umeifuatilia Norway katika mchango wa EU na world geopolitics!?
Watu walisema vivyo hivyo Brazil ni nani kwani akivunja uhusiano na Israel kitatokea nini,mwishowe Brazil akawa kichocheo cha Spain na mataifa mengine kwenda kombo na Israel.
Embu kaitizame Norway ina influence gani.
Watu wanalinda hadhi ya hivyo vyombo vya kimataifa kama ulikua hujui.
UN ilionekana chombo butu kwa kushidwa kumuwajibisha Israel na ICJ itaonekana chombo butu pia ikishindwa kufanya hivyo na mataifa ya ulaya hayataonekana kuwa mataifa kipaumbele katika utetezi kama yatashindwa kumuwajibisha Israel.
Huwenda hujui how geopolitics work.
Spain,Belgium,Brazil n.k n.k yote hayo yalishaonesha ukinzani na Israel toka October kwa mashambulizi ya Gaza,jiulize kwanini.
Kitendo cha USA na UK kuikumbatia na kuficha ujinga wa Israel ulileta mtafaruku wa kiutawala nje na ndani ya mipaka yao.
Raia wa Uingereza waliandamana wakimsema na kumdhihaki Rishi Sunak kwa kuegemea upande wa Israel.
Kiufupi US na UK washapoteza world influence,je unataka na mataifa mengine yapoteze pia!!??
 
Sasa Norway wangenyamaza ili hao wakitia miguu huko wawakamate? Mbona kusanuana tena?
Nia kubwa ya kutoa maneno hayo ni ili mkosaji afahamu, mwisho wa shughuli zake. Hayupo secure kutoka. Hivo bora aache mara moja kadri atavyoendelea vikwazo vinaongezeka. (Geo politics)

Na wewe pia uwe balozi wa wenzako wanaouliza kuhusu kwanini aende norway,
Counterpart wa israel mkubwa ni norway. Miaka na miaka. Pm yyte israel, anadirect relationship na norway ushauri wa kisiasa.
Refer Oslo accord. Since then kumuona kiongozi netanyahu norway, au norway kwenda israel, ni kitu cha dakika sifuri kuliko kuingia marekani au Tanzania.
Alafu pia muwe mnafatilia basi kabla ya kuongea mitandaoni. Mnadhani norway ni kama ka kenya au botswana. Ni heavy weight norway.

(Nimeandikwa kwa Kiswahili cha kawaida muelewe)
 
Sijawahi sikia israel imeenda norway,hakuna interest zozote baina yao.
Kijana uko serious!?
UBALOZI WA ISRAEL PALE OSLO NORWAY UNAFANYA NINI!?
Kama hawana common interests kwanini Israel ina balozi yake Norway mji wa Oslo!?
 
Sometimes we say This is very interesting story. Just imagine What is Norway before Israel? What is benefits for Israel Leaders to visit Norway? Wajafanye nini ? Kwa lipi?
Huo ni Mtego wa kutaka kushawishi nchi zingine nazo zijiingize Kwenye hicho kitanzi
Subiri Adhabu ipo njiani chap
Iran ashaanza Adhabu yake mengine yanakuja Mashabiki msiache kupiga makofi pia Kibao kikiendelea kugeuka
Ndio Mtaelewa maana ya Agano na Mungu.
Hata wakati farao anaua na kutesa watu alikuwa na washabiki wengi tu wakiamini farao yupo sahihi
Hata wakati hitler anatesa na kuua waisrael wafuasi wake waliamini hitler yupo sahihi
Ila wenye akili na hofu na mungu siku zote huwa wanasimama kwenye ukweli na haki regardless wana nufaika au hawanufaiki kwwnye huo udhalimu, hiyo ndio tofauti ya watu wenye akili na wajinga kama wewe
huwezi kujua madhara ya hii arrest warrant kwa sababu huna akili, na hujui madhara ya hii kauli ya norway kwa sababu huna akili
 
Back
Top Bottom