Norway imesema Itamkamata Netanyahu na waziri wake Gallant

Norway imesema Itamkamata Netanyahu na waziri wake Gallant

Israeli itaendelea na vita vyake huko Gaza, mpaka Hamas wawe Eliminated kabisa huko Rafah
Huna akili, unadhani Movement huwa inakufa kwa kikundi kumalizwa? Kitazaliwa kingine na kingine maana hawa waliofiwa wote watajiunga kulipa kisasi!!

Violence haijawahi maliza violence
 
Norway ,ni Narrow way tunaenda kwa internet ,Balozi tupo Sasa Kuna nn ambacho Paka wa Israel atapata huko ambacho hakipo Israel
Hao israel hadi nyanya wanaagiza kutoka uturuki hawajiwezi kwa lolote ni katoto cha marekani kanachodeka na kelele nyingi
France na belgium nao wapo tayari kukamata huyo kibaka wenu
 
Hao israel hadi nyanya wanaagiza kutoka uturuki hawajiwezi kwa lolote ni katoto cha marekani kanachodeka na kelele nyingi
France na belgium nao wapo tayari kukamata huyo kibaka wenu
Israel analima na kuuza matunda na mboga na ni nchi yenye Maji mengi ni wakulima wa umwagiliaji ,unasema nyanya tu hawana ndo wanishangaza
 
Kutoka kushabikia vita kwamba Hamas wameupiga mwingi mpaka kutaka ICC iwasaidie kusitisha vita? Israeli itaendelea na vita vyake huko Gaza, mpaka Hamas wawe Eliminated kabisa huko Rafah. ICC is the toothless dog 🤔
Sasa waende Norway kufanya nini?Kuvua samaki?😂😂😂
Sometimes we say This is very interesting story. Just imagine What is Norway before Israel? What is benefits for Israel Leaders to visit Norway? Wakafanye nini ? Kwa lipi?
Huo ni Mtego wa kutaka kushawishi nchi zingine nazo zijiingize Kwenye hicho kitanzi
Subiri Adhabu ipo njiani chap
Iran ashaanza Adhabu yake mengine yanakuja Mashabiki msiache kupiga makofi pia Kibao kikiendelea kugeuka
Ndio Mtaelewa maana ya Agano na Mungu. Mkisikia Israel ni nchi yenye Agano la Mungu muelewe basi Kama huelewi uliza tutakujibu. Subirini Movie mpya yaja Tutakutana hapa hapa


View: https://youtu.be/MzJyXDIIYYc
 
Israel analima na kuuza matunda na mboga na ni nchi yenye Maji mengi ni wakulima wa umwagiliaji ,unasema nyanya tu hawana
Ana import vitu vingi kutoka turkey kosher food, vegetables,construction materials
 
Israel analima na kuuza matunda na mboga na ni nchi yenye Maji mengi ni wakulima wa umwagiliaji ,unasema nyanya tu hawana ndo wanishangaza
Cheki hiyo report
 

Attachments

  • Screenshot_20240523-180327_Chrome.jpg
    Screenshot_20240523-180327_Chrome.jpg
    469.3 KB · Views: 5
UK na Germany hawajawahi kutosana? Acha bhana, world wars ulizisoma soma kidogo?
Recently wamekuwa na very strong ties na wote members wa nato, vita vyote wanapigana pamoja including iraq war, ingawa jana france kasema ataheshimu maamuzi ya icc atakamata mwizi
 
Hii kitu inaenda kuipasua ulaya na kwa mimi naona inabiko uingereza tu kwa yule mhindi
Ulaya haipasuki, ila kuna mhalifu amewindwa siku nyingi tu na sasa kaingia katika 18 zao. Na kuhakikishia huyu mhalifu zaidi ya Marekani na Uingereza hakuna kwingine Ulaya atapokanyaga. Hata nyumbani kwake alikozaliwa "Poland" hakanyagi.
 
Maneno ya Mungu unaita ujuha? Yaani nyie mnadai wana agano na Mungu ila biblia hiyo hiyo imevunja agano kati ya Mungu na makabila ya Israel ikiwemo Dani je kama walivunja huko ndio sembuse kwa hawa wayahudi wa sasa? Jibu swali kama huwezi achia wenye uelewa
Unaweza Nionyesha nilipodai kuwa wana agano na Mungu?
Hayo unayoita ni maneno ya Mungu, unaweza kunipa uthibitisho kuwa ni Mungu aliyaongea? Akiwa wapi? Kwa lengo gani?
 
Unajua umuhimu wa Norway kwenye nishati ya ulaya? Unajua nchi gani ya ulaya ina sovereign wealth fund ya mfano zaidi kwenye nishati? Eti Norway ina nini? Shows how empty headed you are.
Pole kwa kumjibu huyo mfia Israeli mtu anamini hata ukimpa tigo myahudi utabarikiwa.mwambie Norway ni moja nchi tajiri inayofaidika na resilimali zake na si mtegemezi kama Israeli
 
Kufuatia kibali cha mwendesha mashtaka wa ICC ya kuwakamata Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu na waziri wake wa Ulinzi bwana Yoav Gallant .nchi ya Norway imesema leo kuwa Viongozi hao wasithubutu kukanyaga Norway maana wakitia maguu tu watawakamata

Mwendesha Mashitaka wa ICC:

Hajatoa kibali.

Na sio yeye anaetoa kibali

Na wala kibali hakijatolewa na yeyote.

1. Acha uongo

AU

2. Jifunze kusoma na kuelewa world news

AU

3. Acha ku assume kwamba wana JF wanahitaji kutafsiriwa habari kimataifa na kwamba hawakwenda shule, kama wewe hukwenda.
 
Back
Top Bottom