Norway imesema Itamkamata Netanyahu na waziri wake Gallant

Norway imesema Itamkamata Netanyahu na waziri wake Gallant

Wamefahamishwa mapema wasije kusema hawajaambia sasa Natenyahu yupo kundi na kina Joseph Kony, Bosco Ntaganda, Germain Katanga, Bosco NtagandašŸ˜‚
Vita dhidi ya magaidi iko pale pale
 
  • Thanks
Reactions: 511
Leo mnaowaita makafiri na mashoga wamekuwa watu wema eeh? Yan majitu ya allah shetani mna mambo.
Masuala yenye kulenga mafanikio ya kisiasa usichanganye na dini.

Na wewe ni miongoni mwa wakristo majuha ambao hamna akili. Sasa maslahi ya Norway kisiasa na mambo ya Allah vina uhusiano gani hapo kiasi unaenda kukosa adabu kwenye imani ya watu wengine.
Huu ujinga uliifanya wewe angelifanya muislamu mungelianza kusema waislamu wana chokochoko.
 
Nia kubwa ya kutoa maneno hayo ni ili mkosaji afahamu, mwisho wa shughuli zake. Hayupo secure kutoka. Hivo bora aache mara moja kadri atavyoendelea vikwazo vinaongezeka. (Geo politics)

Na wewe pia uwe balozi wa wenzako wanaouliza kuhusu kwanini aende norway,
Counterpart wa israel mkubwa ni norway. Miaka na miaka. Pm yyte israel, anadirect relationship na norway ushauri wa kisiasa.
Refer Oslo accord. Since then kumuona kiongozi netanyahu norway, au norway kwenda israel, ni kitu cha dakika sifuri kuliko kuingia marekani au Tanzania.
Alafu pia muwe mnafatilia basi kabla ya kuongea mitandaoni. Mnadhani norway ni kama ka kenya au botswana. Ni heavy weight norway.

(Nimeandikwa kwa Kiswahili cha kawaida muelewe)
Siyo kweli. Wanamwogopa Mwisraeli hao
 
Kufuatia kibali cha mwendesha mashtaka wa ICC ya kuwakamata Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu na waziri wake wa Ulinzi bwana Yoav Gallant .nchi ya Norway imesema leo kuwa Viongozi hao wasithubutu kukanyaga Norway maana wakitia maguu tu watawakamata na kuwatia lockup.
---

Norway on Tuesday became the first European country to publicly announce that it will arrest Prime Minister Benjamin Netanyahu and Defense Minister Yoav Gallant if an arrest warrant ultimately is issued against them by the Hague Tribunal and they land on its territory.

Norway's Foreign Minister Espen Barth Eide said, a day after the dramatic statement by ICC prosecutor Karim Khan, that "if an arrest warrant is issued against Netanyahu and Gallant on behalf of the Hague Tribunal, we will be obliged to arrest them if they arrive in Norway."
Huyu naye tutamtungua!!! Ngoja
 
Mbona unaongea nadharia mfu!?
Umeifuatilia Norway katika mchango wa EU na world geopolitics!?
Watu walisema vivyo hivyo Brazil ni nani kwani akivunja uhusiano na Israel kitatokea nini,mwishowe Brazil akawa kichocheo cha Spain na mataifa mengine kwenda kombo na Israel.
Embu kaitizame Norway ina influence gani.
Watu wanalinda hadhi ya hivyo vyombo vya kimataifa kama ulikua hujui.
UN ilionekana chombo butu kwa kushidwa kumuwajibisha Israel na ICJ itaonekana chombo butu pia ikishindwa kufanya hivyo na mataifa ya ulaya hayataonekana kuwa mataifa kipaumbele katika utetezi kama yatashindwa kumuwajibisha Israel.
Huwenda hujui how geopolitics work.
Spain,Belgium,Brazil n.k n.k yote hayo yalishaonesha ukinzani na Israel toka October kwa mashambulizi ya Gaza,jiulize kwanini.
Kitendo cha USA na UK kuikumbatia na kuficha ujinga wa Israel ulileta mtafaruku wa kiutawala nje na ndani ya mipaka yao.
Raia wa Uingereza waliandamana wakimsema na kumdhihaki Rishi Sunak kwa kuegemea upande wa Israel.
Kiufupi US na UK washapoteza world influence,je unataka na mataifa mengine yapoteze pia!!??
Pole ndugu kwa kumwelimisha hilo tutusa la kilokole wakisikia Israeli akili huwa inawaruka wanafikiri wale watu labda wana miguu mitatu
 
Kibali bado hakijatoka,mwendesha mashtaka ameomba kibali.

Swali ni kwamba kwanini Norway inashinikiza kuwakamata Viongozi wa Israel wakati Wale wa Hamas hawajatolewa tamko?

Hamas alivyo wahuni wataenda kulipua ubalozi wa Norway nchi yeyote ile ionekane kuwa ni Israel wamefanya.

Patamu Hapo,
 
Hii kitu inaenda kuipasua ulaya na kwa mimi naona inabiko uingereza tu kwa yule mhindi
Kwenye ishu sensitvewazungu wapo pamoja sana, ICC imeletwa kwa mataifa ya Africa na ya Kikomunisti. Na ataenda uko ili wamkamate. Kama Putin alitaka kwenda South Africa. Wasauzi wakakataaa wakasema usije. Wao ndio wakaaanza kunya mavi. Kwa iyo Netanyahu akisema anaenda uko Norway šŸ‡³šŸ‡“ watakataaa watasema kidiplomasia usije
 
Just imagine What is Norway before Israel? What is benefits for Israel Leaders to visit Norway? Wakafanye nini ? Kwa lipi?
Unajua umuhimu wa Norway kwenye nishati ya ulaya? Unajua nchi gani ya ulaya ina sovereign wealth fund ya mfano zaidi kwenye nishati? Eti Norway ina nini? Shows how empty headed you are.
 
Back
Top Bottom