Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
- Thread starter
-
- #21
Sasa makasiriko ya ninj kwanini sisi tuna nguvu gani ya kuiagiza Norway mkuu?Kutoka kushabikia vita kwamba Hamas wameupiga mwingi mpaka kutaka ICC iwasaidie kusitisha vita? Israeli itaendelea na vita vyake huko Gaza, mpaka Hamas wawe Eliminated kabisa huko Rafah. ICC is the toothless dog 🤔
Watu wanaangalia maslahi ya mataifa yaoWale waliokua wanataka Putini akamatwe, hao hao ndio wanataka Neta asikamatwe.
Wewe haya mambo yamekuzidi uwezo .nakushauri usubiri jumapili mkajadiliane na walokole wenzako kanisani. Hii siyo mada ya kidini.Sometimes we say This is very interesting story. Just imagine What is Norway before Israel? What is benefits for Israel Leaders to visit Norway? Wajafanye nini ? Kwa lipi?
Huo ni Mtego wa kutaka kushawishi nchi zingine nazo zijiingize Kwenye hicho kitanzi
Subiri Adhabu ipo njiani chap
Iran ashaanza Adhabu yake mengine yanakuja Mashabiki msiache kupiga makofi pia Kibao kikiendelea kugeuka
Ndio Mtaelewa maana ya Agano na Mungu.
Kama ni maneno wanalia lia nini kwamba ICC haijawatendea Haki si wanyamaze.Haya ni maneno tu
Huamini au?Lini?
Yeah right. Like Netanyahu and the other guy will be going to Norway anytime soon.Kufuatia kibali cha mwendesha mashtaka wa ICC ya kuwakamata Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu na waziri wake wa Ulinzi bwana Yoav Gallant .nchi ya Norway imesema leo kuwa Viongozi hao wasithubutu kukanyaga Norway maana wakitia maguu tu watawakamata na kuwatia lockup.
---
Norway on Tuesday became the first European country to publicly announce that it will arrest Prime Minister Benjamin Netanyahu and Defense Minister Yoav Gallant if an arrest warrant ultimately is issued against them by the Hague Tribunal and they land on its territory.
Norway's Foreign Minister Espen Barth Eide said, a day after the dramatic statement by ICC prosecutor Karim Khan, that "if an arrest warrant is issued against Netanyahu and Gallant on behalf of the Hague Tribunal, we will be obliged to arrest them if they arrive in Norway."
Ukristo haufundishi kutukana dini nyengine.Leo mnaowaita makafiri na mashoga wamekuwa watu wema eeh? Yan majitu ya allah shetani mna mambo.
Na Ufaransa 😀Kufuatia kibali cha mwendesha mashtaka wa ICC ya kuwakamata Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu na waziri wake wa Ulinzi bwana Yoav Gallant .nchi ya Norway imesema leo kuwa Viongozi hao wasithubutu kukanyaga Norway maana wakitia maguu tu watawakamata na kuwatia lockup.
---
Norway on Tuesday became the first European country to publicly announce that it will arrest Prime Minister Benjamin Netanyahu and Defense Minister Yoav Gallant if an arrest warrant ultimately is issued against them by the Hague Tribunal and they land on its territory.
Norway's Foreign Minister Espen Barth Eide said, a day after the dramatic statement by ICC prosecutor Karim Khan, that "if an arrest warrant is issued against Netanyahu and Gallant on behalf of the Hague Tribunal, we will be obliged to arrest them if they arrive in Norway."
Na UfaransaKufuatia kibali cha mwendesha mashtaka wa ICC ya kuwakamata Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu na waziri wake wa Ulinzi bwana Yoav Gallant .nchi ya Norway imesema leo kuwa Viongozi hao wasithubutu kukanyaga Norway maana wakitia maguu tu watawakamata na kuwatia lockup.
---
Norway on Tuesday became the first European country to publicly announce that it will arrest Prime Minister Benjamin Netanyahu and Defense Minister Yoav Gallant if an arrest warrant ultimately is issued against them by the Hague Tribunal and they land on its territory.
Norway's Foreign Minister Espen Barth Eide said, a day after the dramatic statement by ICC prosecutor Karim Khan, that "if an arrest warrant is issued against Netanyahu and Gallant on behalf of the Hague Tribunal, we will be obliged to arrest them if they arrive in Norway."
Wamefahamishwa mapema wasije kusema hawajaambia sasa Natenyahu yupo kundi na kina Joseph Kony, Bosco Ntaganda, Germain Katanga, Bosco Ntaganda😂Sasa Norway wangenyamaza ili hao wakitia miguu huko wawakamate? Mbona kusanuana tena?
Mbona unaongea nadharia mfu!?Sometimes we say This is very interesting story. Just imagine What is Norway before Israel? What is benefits for Israel Leaders to visit Norway? Wajafanye nini ? Kwa lipi?
Huo ni Mtego wa kutaka kushawishi nchi zingine nazo zijiingize Kwenye hicho kitanzi
Subiri Adhabu ipo njiani chap
Iran ashaanza Adhabu yake mengine yanakuja Mashabiki msiache kupiga makofi pia Kibao kikiendelea kugeuka
Ndio Mtaelewa maana ya Agano na Mungu.
Hajielewi mkuu,usichafue fahari yako kumjibu popoma/bumunda kama huyo aliyejaa udini.We mlokole vipi? Hii mada inahusiana nini na hiyo dini yako?
Nia kubwa ya kutoa maneno hayo ni ili mkosaji afahamu, mwisho wa shughuli zake. Hayupo secure kutoka. Hivo bora aache mara moja kadri atavyoendelea vikwazo vinaongezeka. (Geo politics)Sasa Norway wangenyamaza ili hao wakitia miguu huko wawakamate? Mbona kusanuana tena?
Kijana uko serious!?Sijawahi sikia israel imeenda norway,hakuna interest zozote baina yao.
Kama hakuna interest wafunge ubalozi.Sijawahi sikia israel imeenda norway,hakuna interest zozote baina yao.
Hata wakati farao anaua na kutesa watu alikuwa na washabiki wengi tu wakiamini farao yupo sahihiSometimes we say This is very interesting story. Just imagine What is Norway before Israel? What is benefits for Israel Leaders to visit Norway? Wajafanye nini ? Kwa lipi?