Norway imesema Itamkamata Netanyahu na waziri wake Gallant

Wamefahamishwa mapema wasije kusema hawajaambia sasa Natenyahu yupo kundi na kina Joseph Kony, Bosco Ntaganda, Germain Katanga, Bosco Ntaganda😂
Vita dhidi ya magaidi iko pale pale
 
Reactions: 511
Leo mnaowaita makafiri na mashoga wamekuwa watu wema eeh? Yan majitu ya allah shetani mna mambo.
Masuala yenye kulenga mafanikio ya kisiasa usichanganye na dini.

Na wewe ni miongoni mwa wakristo majuha ambao hamna akili. Sasa maslahi ya Norway kisiasa na mambo ya Allah vina uhusiano gani hapo kiasi unaenda kukosa adabu kwenye imani ya watu wengine.
Huu ujinga uliifanya wewe angelifanya muislamu mungelianza kusema waislamu wana chokochoko.
 
Siyo kweli. Wanamwogopa Mwisraeli hao
 
Huyu naye tutamtungua!!! Ngoja
 
Pole ndugu kwa kumwelimisha hilo tutusa la kilokole wakisikia Israeli akili huwa inawaruka wanafikiri wale watu labda wana miguu mitatu
 
Kibali bado hakijatoka,mwendesha mashtaka ameomba kibali.

Swali ni kwamba kwanini Norway inashinikiza kuwakamata Viongozi wa Israel wakati Wale wa Hamas hawajatolewa tamko?

Hamas alivyo wahuni wataenda kulipua ubalozi wa Norway nchi yeyote ile ionekane kuwa ni Israel wamefanya.

Patamu Hapo,
 
Hii kitu inaenda kuipasua ulaya na kwa mimi naona inabiko uingereza tu kwa yule mhindi
Kwenye ishu sensitvewazungu wapo pamoja sana, ICC imeletwa kwa mataifa ya Africa na ya Kikomunisti. Na ataenda uko ili wamkamate. Kama Putin alitaka kwenda South Africa. Wasauzi wakakataaa wakasema usije. Wao ndio wakaaanza kunya mavi. Kwa iyo Netanyahu akisema anaenda uko Norway 🇳🇴 watakataaa watasema kidiplomasia usije
 
Just imagine What is Norway before Israel? What is benefits for Israel Leaders to visit Norway? Wakafanye nini ? Kwa lipi?
Unajua umuhimu wa Norway kwenye nishati ya ulaya? Unajua nchi gani ya ulaya ina sovereign wealth fund ya mfano zaidi kwenye nishati? Eti Norway ina nini? Shows how empty headed you are.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…