zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Acha uongo, Kabila la Dani si walifanya agano na Mungu mbona aliwatosa kwenye kitabu cha ufunuo? Ndio sembuse hawa wayahudi wanaofadhili ushoga na mauaji?Mkisikia Israel ni nchi yenye Agano la Mungu
Huna akili, unadhani Movement huwa inakufa kwa kikundi kumalizwa? Kitazaliwa kingine na kingine maana hawa waliofiwa wote watajiunga kulipa kisasi!!Israeli itaendelea na vita vyake huko Gaza, mpaka Hamas wawe Eliminated kabisa huko Rafah
Hao israel hadi nyanya wanaagiza kutoka uturuki hawajiwezi kwa lolote ni katoto cha marekani kanachodeka na kelele nyingiNorway ,ni Narrow way tunaenda kwa internet ,Balozi tupo Sasa Kuna nn ambacho Paka wa Israel atapata huko ambacho hakipo Israel
UK na Germany hawajawahi kutosana? Acha bhana, world wars ulizisoma soma kidogo?F
UK, france ,germany na usa hawajawahi kutosana kwa shida na raha
Israel analima na kuuza matunda na mboga na ni nchi yenye Maji mengi ni wakulima wa umwagiliaji ,unasema nyanya tu hawana ndo wanishangazaHao israel hadi nyanya wanaagiza kutoka uturuki hawajiwezi kwa lolote ni katoto cha marekani kanachodeka na kelele nyingi
France na belgium nao wapo tayari kukamata huyo kibaka wenu
Israel iko ulaya?Unajua umuhimu wa Norway kwenye nishati ya ulaya? Unajua nchi gani ya ulaya ina sovereign wealth fund ya mfano zaidi kwenye nishati? Eti Norway ina nini? Shows how empty headed you are.
Punguza ujuhaAcha uongo, Kabila la Dani si walifanya agano na Mungu mbona aliwatosa kwenye kitabu cha ufunuo? Ndio sembuse hawa wayahudi wanaofadhili ushoga na mauaji?
Kutoka kushabikia vita kwamba Hamas wameupiga mwingi mpaka kutaka ICC iwasaidie kusitisha vita? Israeli itaendelea na vita vyake huko Gaza, mpaka Hamas wawe Eliminated kabisa huko Rafah. ICC is the toothless dog π€
Sasa waende Norway kufanya nini?Kuvua samaki?πππ
Sometimes we say This is very interesting story. Just imagine What is Norway before Israel? What is benefits for Israel Leaders to visit Norway? Wakafanye nini ? Kwa lipi?
Huo ni Mtego wa kutaka kushawishi nchi zingine nazo zijiingize Kwenye hicho kitanzi
Subiri Adhabu ipo njiani chap
Iran ashaanza Adhabu yake mengine yanakuja Mashabiki msiache kupiga makofi pia Kibao kikiendelea kugeuka
Ndio Mtaelewa maana ya Agano na Mungu. Mkisikia Israel ni nchi yenye Agano la Mungu muelewe basi Kama huelewi uliza tutakujibu. Subirini Movie mpya yaja Tutakutana hapa hapa
Ana import vitu vingi kutoka turkey kosher food, vegetables,construction materialsIsrael analima na kuuza matunda na mboga na ni nchi yenye Maji mengi ni wakulima wa umwagiliaji ,unasema nyanya tu hawana
Cheki hiyo reportIsrael analima na kuuza matunda na mboga na ni nchi yenye Maji mengi ni wakulima wa umwagiliaji ,unasema nyanya tu hawana ndo wanishangaza
Recently wamekuwa na very strong ties na wote members wa nato, vita vyote wanapigana pamoja including iraq war, ingawa jana france kasema ataheshimu maamuzi ya icc atakamata mwiziUK na Germany hawajawahi kutosana? Acha bhana, world wars ulizisoma soma kidogo?
Unachanganya MbonaLeo mnaowaita makafiri na mashoga wamekuwa watu wema eeh? Yan majitu ya allah shetani mna mambo.
Ulaya haipasuki, ila kuna mhalifu amewindwa siku nyingi tu na sasa kaingia katika 18 zao. Na kuhakikishia huyu mhalifu zaidi ya Marekani na Uingereza hakuna kwingine Ulaya atapokanyaga. Hata nyumbani kwake alikozaliwa "Poland" hakanyagi.Hii kitu inaenda kuipasua ulaya na kwa mimi naona inabiko uingereza tu kwa yule mhindi
Unaweza Nionyesha nilipodai kuwa wana agano na Mungu?Maneno ya Mungu unaita ujuha? Yaani nyie mnadai wana agano na Mungu ila biblia hiyo hiyo imevunja agano kati ya Mungu na makabila ya Israel ikiwemo Dani je kama walivunja huko ndio sembuse kwa hawa wayahudi wa sasa? Jibu swali kama huwezi achia wenye uelewa
Pole kwa kumjibu huyo mfia Israeli mtu anamini hata ukimpa tigo myahudi utabarikiwa.mwambie Norway ni moja nchi tajiri inayofaidika na resilimali zake na si mtegemezi kama IsraeliUnajua umuhimu wa Norway kwenye nishati ya ulaya? Unajua nchi gani ya ulaya ina sovereign wealth fund ya mfano zaidi kwenye nishati? Eti Norway ina nini? Shows how empty headed you are.
Kufuatia kibali cha mwendesha mashtaka wa ICC ya kuwakamata Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu na waziri wake wa Ulinzi bwana Yoav Gallant .nchi ya Norway imesema leo kuwa Viongozi hao wasithubutu kukanyaga Norway maana wakitia maguu tu watawakamata