Uchaguzi 2020 Nothing lasts longer, sasa ni dhahiri CCM inaenda kuangushwa kwenye Uchaguzi huu

Kama hayo ndiyo matokeo ya NEC wanayoyapanga, sawa.

On the ground kila mtu anajua hali ni tete. Unafikiri Yohana yuko garage kila second day kwa ajili ya nini .... Kupita bila kupingwa siyo kura hizo. Ni mipango ya CCM na TUMe yake.
 
Wengi wamejaa uoga na kutojiamini , lakini ikumbukwe kwamba alipangalo Mola hakuna binadamu wa kulipangua
Ni uoga huo na kutokujiamini ulio nao kichwani mwako unakusumbua kiasi cha kutokujitambua, kujikubali na kuchukua hatua za kujikwamua kutoka unyumbu.

Sera ya Ilani ya CHADEMA, ni kampeni gani na wapi, tangu kampeni zimeanza, Lissu, mgombea Urais anayesumbua kichwa chako, ameweza kueleza maana yake ni nini? Zaidi ya 90% ya muda wake jukwaani ni kumshambulia Magufuli, mwanzo mwisho kwa VIOJA badala ya hoja.

Serikali ya CCM, inayongozwa na Magufuli imefanya mengi ya maendeleo ya vitu (kwa lugha yenu na Lissu), pamoja na kukubali hilo, Lissu na ninyi wafuasi wake humu JF, mmeshindwa kuyatafsiri yawe maendeleo ya watu. Tunategemea kiongozi makini, hata kama siyo msomi, hukiri na kutambua kilichopo kwanza.
 
Hao wabunge 20 wa ccm na hao madiwani unaotuaminisha hawakupingwa wamepigiwa kura na nani?

Wewe kuchwani ni bure kabisa.
 
Huo ndio ukweli halisi. Ishu pekee ni namna ya kuzuia wizi wa kura
 
Kauli mbiu ya sera za CCM kwa uchaguzi huu ni nini hasa? Kauli mbiu ya uchaguzi uliopita ilikuwa: Tanzania ya viwanda.
 
Kwanini mlima Kilimanjaro unawaka....watafsiri wa mambo hebu njooni msaidie!
 
CCM haitashinda bali itabebwa na NEC pamoja na vyombo vya dola. Na hapo ndipo bwana atatenda!
 
CCM wanafanya kampeni tokea mwaka 2016 wakati wamezuia vyama vingine kufanya mikutano ya siasa, kilichowafanya kuchukiwa zaidi ni utawala wao wa kidikteta kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani uonevu unyanyasaji uovu ufisadi mkubwa kwenye ununuzi Ndege ujenzi wa Reli bwawa la umeme , ujenzi wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge na manyanyaso kibao ikiwemo kuzuia nyongeza za mishahara kwa watumishi wa umma kwa mda mitano
 
Huu utafiti wako uliufanyia wapi? na nani alikuwa supervisor wako?

Mahera kila siku anahangaika kuwaengua wagombea wa upinzani bila sababu za msingi halafu wewe unatuletea taarabu zako hapa.
NECCCM Tumeccm na chombo binafsi cha CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…