Uchaguzi 2020 Nothing lasts longer, sasa ni dhahiri CCM inaenda kuangushwa kwenye Uchaguzi huu

Huo uharamia wa CCM kuwaengua wagombea wa vyama vingine, nao umechangia kuongeza hasira za wananchi dhidi ya mgombea wa CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jinga kweli..wakina sisi hatuna kadi za vyama ndio tunaenda kuwashikisha adabu mafisadi msiojua kuongea kidhungu
 
..mara nyingi mgombea anayeshinda ni yule anayejibu hitaji la wananchi la wakati husika.

..katika uchaguzi huu wananchi wanalilia HAKI, na wanalilia maendeleo yao, na uchumi wao.

..CCM wamepuuza kilio hicho cha wananchi, na inaweza kuwa ndio anguko lao.
 
Dhahiri !
 
Umefatilia wamepitaje huko mikoa uliyo itaja kuna nini ambacho wananchi wamenufaika kwa maisha yao yabinafsi unatoka usingizini unaropoka tu ingekuwa kweli kwanini nguvu kubwa inatumika kuhakisha michezo michafu inachezwa kwanini hawataki tume huru wakati wanamtaji mkubwa hivyo haya ya usumbufu kuzuia mawakala sehemu zingine yanatoka wapi wakati anaehofiwa hana hatakata aliopita bilakupingwa?tuondolee ujinga huko kanda yaziwa ndiko wamechoma nyavu nakutozwa mafaini yakubambikiana nani anahabari nahuu wizi
 


Natamani tu kuona Kule Zanzibar Maalum Seif akiifanya Zanzibar kuwa kama Dubai ,tununue bidhaa hapo Zenji nadala ya kwenda huko Asia.
CCM ikewatia umaskini wazanzibari umaskini kwa makusudi kabisa.

Lisu kaza bara kule wataachia. Maalim atatawala zanziba kwa miaka yake mitano na nchi itatulia mana kinachokosekana tanzania ni Haki sio amani mana Amani ipo tangu alipokuka mkoloni Mwingereza nchi yetu haikuawa tena na vita ya makabila wala dini labda CCM wakiwa chama cha upinzani wao ndio waingie msituni kuleta vurugu lakini mkoloni alituachia nchi yenye amani kwa amani.
Tusikubali uchochezi wa CCM kuwa eti wapinzani wakiingia madarakani kutakua na vita. Ujinga mtupu!
Vita itaanzishwa na Makaburu yanayoua watu ili yatawale kimabavu. Hapo ndipo uvumilivu utakapotowela
 
CCM mwaka huu hawatoamini kitakachowatokea tukitoka tarehe 28 asubuhi haturudi nyumbani mpaka Lissu atangazwe
Endelea kutunza hi comment yako, kesho tar 28 October utahamia kituoni Hadi Lissu atangazwe rais. Bado masaa machache tuu usikimbie jukwaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…