Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahio wanakutapeli Nini hapo au kivipi elezaWe unahisi mia 5 inaweza kuwa na thamani ya laki na ishirini?
Huo ni utapeli gani?
Ndio.... hayo mambo yamekaa kishirikina sana siwezi kuyachambua kwa udaniWe unahisi mia 5 inaweza kuwa na thamani ya laki na ishirini?
Mkuu hyo haina twiga kweli?zipo za elfu sita na biashara ifanyike hapa hapa coz Pm yangu nimefunga
View attachment 2624980
Kwenye Kikombe Cha Babu AmbilikileNyingi zilienda Loliondo
Ishakuwa fursanaTuichangamkie mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ogopa matapeli.... tatizo ni ujinga wa wabongo wenyewe ndio tatizoNi weezy na utapeli tu ,haujawai kusikia jinsi watu wanavyotapeliwa kwa kutafuta hela za mjerumani ,mercury nyekundu na vijipesa kama hivyo vya TZ? Na hii ni moja ya style ya UTAPELI inaanza mtu anahitaji mia 5 ya noti ,kisha anatokeza TAPELI mwenzake wanasema kuna mtu anazo yupo Moro anauza kwa elfu 50 kumbe huyo wa Moro ni Tapeli mwenzake 😀 😀 then unaingizwa mtu kati unapukutishwa mchana kweupe.
Kuwa serious kesho nianze safari kutoka Bukoba.Sjui mkuu,mi nimepewa dili kama dalali,nimezingatia kusiwepo na mashariti,mfano kulipana amount ambayo fixed,pia isiwe lazima kulipana cash to cash.