Arya Stark
Senior Member
- Dec 1, 2025
- 147
- 253
Si chai kifungua kinywa na inaweza kuwa ya rangi au maziwa.Mmmh unajua maanake
Wew umetoa wapi comment yangu π we ni hacker nini πππ
KWanza alinipotea toka October 7 ndo karudi leo nilikuwa mpweke me humu hfAu rafiki yako yuko jela π
Usiogope πππWew umetoa wapi comment yangu π we ni hacker nini πππ
Ukiambiwa chai huku maanake ni muongoπ₯π₯Si chai kifungua kinywa na inaweza kuwa ya rangi au maziwa.
Oooh sikujuaUkiambiwa chai huku maanake ni muongoπ₯π₯
Pana umeme na nataka nicheck movie Ila sina usbUnakokaa hakuna umeme?
Nndo umejua sasa dearOooh sikujua
Asante kwa kunijuza.Nndo umejua sasa dear
Na badoπ€£π€£Wew umetoa wapi comment yangu π we ni hacker nini πππ
Umenishtua bro hiyo ni muvi kweli au ndo zile ........... Mbona sijaielewaPana umeme na nataka nicheck movie Ila sina usb
View attachment 3510676
No worries usiku mwema ulale usingizi unonoAsante kwa kunijuza.
Acha nikuage, I'm sleepy naenda kulala!
Wewe pia, usiku mwema!No worries usiku mwema ulale usingizi unono
π₯ππ₯Wewe pia, usiku mwema!
Mkuu unakosea sana kusambaza picha ya agent makini bila idhini yake, acha kabisa, nikikasirika kisasi changu ni kibaya sana. Utaumia.Nimekuambia unahezewa na huyu
Nipo mkuu nipe muongozo wa hapa
Nipo mkuu nasoma comment tu za wanajfUlipotea sana mzeee nikajua na wewe ulikuwa Frontline mo29ππ
Lazima niogope πUsiogope πππ
Ni nyimbo, ndo ule wimbo wa No LoveNa badoπ€£π€£
Umenishtua bro hiyo ni muvi kweli au ndo zile ........... Mbona sijaielewa
Nisamehe bure mkuu sirudii tena πMkuu unakosea sana kusambaza picha ya agent makini bila idhini yake, acha kabisa, nikikasirika kisasi changu ni kibaya sana. Utaumia.