Bado unantetea DG kwa ufisadi wote huo?? Sikushangai sana ila Watanzania kama nyie n wengi sanaHizo data ziko wapi?
Na uko wapi ushahid wa kuhusika kwa Dr Dau katika hiko ulichokieleza?
Kwa maana inaonekana mada yoote na hizo taarifa lawama mnataka kuzipeleka kwa Dr Dau...kivip sasa...
Kuwa DG si kigezo cha kupewa lawama shirika liko chini ya board na hata hivyo uthibitisho hakuna...
Mfano katika sakata la Escrow na Tanesco pamoja na kuhusika kwa malipo hewa ya shirika lile na wizi mkubwa kama ule why DG wa Tanesco kwa mfano hamkumpa lawama kama hizo?
Its just a matter of time...kila kitu kitakuwa revield
Bahati nzuri CAG Assad aliachwa na JK na ndiye ataweza kukupatia ushahidi huo!Ushahid ukowapi kwamba Dr Dau kahusika au kachota pesa kutokana na hizo taarifa hapo juu. Kwa mfano.
Hebu funguka...au ushahid wa hiyo picha ya daraja ndiyo tosha kuthibitisha hizo shutuma zilizoandikwa?
Kuna mabakuli ya kupatia misosi,au akiwa jikoni atakuwa anadokoa minofuAkamuibie nani ubalozi wa Segerea?
Mbona unatumia nguvu nyingi sana kumtetea huyo mtu?una uhusiano gani wa karibu?au ni kati ya vijana wake?Kabla ya kwenda huko ubalozin kwanza hebu tuambie katika hili yeye kahusika vip na wizi huo?
Wapi pameandikwa kuwa yeye kachukua kias flan cha pesa?
Mpigaji ni mpigaji tu hata chumvi atapiga.Kuna mabakuli ya kupatia misosi,au akiwa jikoni atakuwa anadokoa minofu
Mbona unatumia nguvu nyingi sana kumtetea huyo mtu?una uhusiano gani wa karibu?au ni kati ya vijana wake?
Ni vizuri sana haya maneno yako na majisifu unge yapeleka kwa CAGI will be much proud kama nitakuwa ni kijana wake...
Much much proud...
Niwekee basi ushahid unaonesha kuhusika kwake kwa ufisadi huo na wizi huo.
Na kama huna ushahid huoni kuwa wewe ni kubwa la wambea?
Bado unantetea DG kwa ufisadi wote huo?? Sikushangai sana ila Watanzania kama nyie n wengi sana
Ni vizuri sana haya maneno yako na majisifu unge yapeleka kwa CAG
kwa lugha unayotumia tiyari inautambulisha dini yako, na ukaribu wako ba fisadi dau au wewe ni dau mwenyewe. Unataka ushahidi gani wakati ufisadi Huu umefanyika chini ya himaya yakoDont be stupid..tell me wapi yeye kachukua pesa au kahusika na huo wizi unaosemekana kufanyika.
Tatizo liko wapi kwa wewe kusema kuwa alihusika hapa na hapa?
Jamaa yako mwingine anasema had CAG atoe report...ok sawa sasa kama ni mpaka CAG atoe report nyinyi hukumu hii mnayoitoa kwa kuhusika kwake mnaitoa wapi?
Kama siyo umbea na uchagudoa tuite nini.
Niliweka uzi humu juu ya ufisadi Wa dau, nikashambuliwa sana. Ninachojua kwa uhakika ni kwamba dau alikuwa na ukaribu na kikwete na ccm. Sehemu ya ufisadi Huu iliingia kwa jk na ccm. Usishangae kuwa anaweza asikanyage kisutu Kama walu jamaa Wa kaskazini
Badala ya kumalizia vizuri hoja yako umeamua kuimalizia kwa kuipaka kinyesi,tulia huyo unaye mtetea ajiandae kwenda kunyea debe nawe kama ni mnufaika wa fedha za watanzania jiandae kupata mlo mmoja kwa sikuFor what purpose mimi niyapeleke kwa CAG?
Dont you ever think hata siku moja Dr Dau atakuwa mwehu na mwizi kama walivyo jamaa zenu kina Kitilya wanaoburuzwa mahakamani kwa aibu na ufisadi...never ever...and mark. My words...!
Maana naona jamaa zako wanashangilia sana kuhusu habari hiyo kana kwamba Nssf ni Dr Dau pekee na kwamba lolote linalotokea basi mfanyaji ni yeye kiujumla...
Tena hata ukiachilia mbali hivyo habari yenyewe ni kavu na isiyo na ushahid wala facts utaitumiaje kumuhukum Dr Dau kuwa kahusika na ufisadi huo simply because yeye alikuwa DG...kama .ni report ya CAG uiweke tuione na kama huna time will tell everything...
Acha shobo na umbea kwa wanaume utaolewa.
Nikweli kabisa mkuu maana naona jamaa kaamua kutetea kwa nguvu zake zote na kutokwa na povu utadhani kabugia uyoga wenye sumukwa lugha unayotumia tiyari inautambulisha dini yako, na ukaribu wako ba fisadi dau au wewe ni dau mwenyewe. Unataka ushahidi gani wakati ufisadi Huu umefanyika chini ya himaya yako
tehe the tehe teheawamu hii chongeni mabenchi ya kukalia ofisinimuzoee kabisa ili siku ukienda kisutu usipate shida kukaa, pia kaeni na ndoo kwenye gari manake wengine watakuwa wanakamatwa hata maofisini wanapelekwa kisutu.
Nina mashaka na elimu yako, huenda ni ya madrasa tuSasa kama unazungumza vitu ambavyo huna ushahid navyo zaid zaid ya majungu na fitna kwa nin usishambuliwe.
Mfano kwenye habari hii ya mwananchi wapi pameonesha kuhusika kwa Dau kwenye huo wizi.
Wanaume hawatafutwi namna hiyo.
Hata kama ndoa imekua adim nowdays
kwa lugha unayotumia tiyari inautambulisha dini yako, na ukaribu wako ba fisadi dau au wewe ni dau mwenyewe. Unataka ushahidi gani wakati ufisadi Huu umefanyika chini ya himaya yako