THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
Nina mashaka na elimu yako, huenda ni ya madrasa tu
Badala ya kumalizia vizuri hoja yako umeamua kuimalizia kwa kuipaka kinyesi,tulia huyo unaye mtetea ajiandae kwenda kunyea debe nawe kama ni mnufaika wa fedha za watanzania jiandae kupata mlo mmoja kwa siku
mwachen jaman designate ambassador.teh teh
Jiandae kula mlo mmoja kwa sikuKunyea debe kwa porojo hizo eti kwamba shirika limenunua ekari moja kwa million mia nane?
Au kwa ushahid wa hizo picha za daraja la kigamboni?
Teh teh teh..stupid nchi hii wajinga hamuwezi kwisha
Kumbe huko ndio umeegemea?ndio maana unatokwa na mapovu kiasi hicho kisa udini?wewe ni zaidi ya mazombieElimu ya madrasa ni basic na elementary kwangu.
Ni fahari yangu kubwa mimi kuwa na elimu hiyo...
Siwez kujigamba na elimu ya parokia ambayo siku zoote imekua inazalisha wasomi wezi na wahujum wa taifa hili tokea lipate uhuru wake hadi leo hii
Jiandae kula mlo mmoja kwa siku
Changudoa ni mkweoMimi kula mmoja kwa siku ndiyo maisha yangu na nimezoea.
Ila kinachonipa shaka ni huu uwezo wenu finyu wa kushindwa kusoma kitu na kufanya personal judgement.
Na kushindwa kujua hata kama kweli watu ni vibaka watawezake kuiba kwa kununua heka moja kwa sh million 800?
Akili za kichangudoa hizo
Kumbe huko ndio umeegemea?ndio maana unatokwa na mapovu kiasi hicho kisa udini?wewe ni zaidi ya mazombie
Target kubwa ya waimba kwaya kama wewe ni kusherehekea matatizo yoyote ambayo yanaweza tokea kwa mtu kama huyo kwa namna yeyote ile...mbaya zaid hutoipata nafas hiyo...
Na kama hivi vitu vinawaumiza mimi naona vitazid tuh kuwaumiza
Hiyo pesa ni nyingi sana, siyo ajabu imetumika kupiga kampeni
Mimi sina akili ya kijinga kama wewe,Mimi ni mdini kweli...na dini yangu ni uislam
Vipi wewe ni mpagani?
tuambie we muimbaji wa kaswida, hiv nssf ni shirka LA kwanza kutuhumiwa na ufisadi?? dk dau lazma awajibke kwa hiz tyhuma, hpe taasis ya takukuru wameanza kuchunguza hilo, na uswe na hofu haki itatendeka tu.
Sindikiza na kicheko"Hizi fedha za NSSF sio za Umma" ( tamka hayo in JK voice)
Mnazoza sana.
Mara nyingi ukiona mtu anakimbilia kujenga kambi za kidini ujue anaunda kundi maslahi kutetea mambo yake na kupata huruma kwa watoa maamuzi.
Sishangai kisikia hayo....dini huwa naiita opium.
Mimi sina akili ya kijinga kama wewe,
Nimeshakwambia kuwa changudoa ni mkweoWewe lazima utakuwa na akili ya kijinga na akili ya kichandudoa tuh
Mtu mwenye akili timamu ataweza vip amin taarifa eti kwamba watu wanaweza nunua hekari moja kwa shilling million 800?na ukiwaomba ushahid wanaweka picha ya daraja?kama siyo wehu ni kitu gan
Ha ha ha wewe jamaa.. A ha ha aa.. Naona mwananchi wanatupia movie ya nssf kama prison break vile au 24.Naamini kama magu keshaligundua hilo hata huko ubalozi hawezi kwenda tena na badala yake ataenda kuwa balozi ndani ya segerea au ukonga