NTOBI: Jeshi la Polisi wamefika nyumbani kwa Boniface, hapa Msakuzi kwa ajili ya upekuzi

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Kada na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga, Ntobi amesema Jeshi la Polisi wamefika nyumbani kwa Boniface Jacob, maeneo ya Msakuzi kwa ajili ya upekuzi. Mawakili wa Chama wapo hapa kushuhudia upekuzi.

Hii inakuja baada ya kutoka taarifa kwa Jeshi la Polisi kwamba linamshikilia Boniface Jacob kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.

Soma Pia:

Nilishasema siku nyingi sana ,mwafrika kumpa uhuru wa kuongea chochote atakacho kwa kisingizio cha demokrasia sio sawa .Denokrasia inatawaliwa na wapuuzi na wahuni kama Lema kushinda mitandaoni kushindana na serikali ni ujinga uliopitiliza aisee
DAH pole chawa
 
Ni kweli, huku africa kiongozi anaingia madarakani kwa kupora uchaguzi halafu anataka aheshimiwe!
 
Nilishasema siku nyingi sana ,mwafrika kumpa uhuru wa kuongea chochote atakacho kwa kisingizio cha demokrasia sio sawa .Denokrasia inatawaliwa na wapuuzi na wahuni kama Lema kushinda mitandaoni kushindana na serikali ni ujinga uliopitiliza aisee
Kuongea kwao Kuna athiri uchumi wa nchi Kwa kiasi gani!!?

Kwani kuongea kwao SI ndio media industry inapata fedha na uchumi kukua!!?

Kwanini serikali isinge tumia madai yao positively kwa kuanzisha midahalo ya kisiasa itakayokua Gumzo nchini na kuteka vyombo vya habari na kukuza uchumi!!?

Kwanini serikali isingelinda maandamano Yao kama walivyofanya hapo kabla na hawakupindua nchi hao wapinzani!!!?

Aiseh !naishia hapa!!

Tunajenga taifa na SI chama kimoja kiwe kikubwa kuliko kingine!!!
 
Acha wanyooshwe
The suspect remains innocent until proven guilty. Sijaona la ajabu hapo. Kibatala ajiandae kupangua allegations zozote zile zitakazoelekezwa kwa BJ. But timing of his arrest creates more questions than answers. Silencing the Voices of the critiques ? If so it is not the best way !
 
Kuongea kwao Kuna athiri uchumi wa nchi Kwa kiasi gani!!?

Kwani kuongea kwao SI ndio media industry inapata fedha na uchumi kukua!!?

Kwanini serikali isinge tumia madai yao positively kwa kuanzisha midahalo ya kisiasa itakayokua Gumzo nchini na kuteka vyombo vya habari na kukuza uchumi!!?

Kwanini serikali isingelinda maandamano Yao kama walivyofanya hapo kabla na hawakupindua nchi hao wapinzani!!!?

Aiseh !naishia hapa!!

Tunajenga taifa na SI chama kimoja kiwe kikubwa kuliko kingine!!!
Kwa iyo unataka kila siku watu wawe wanaandamana tu
 
Kada na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga, Ntobi amesema Jeshi la Polisi wamefika nyumbani kwa Boniface Jacob, maeneo ya Msakuzi kwa ajili ya upekuzi. Mawakili wa Chama wapo hapa kushuhudia upekuzi.

Hii inakuja baada ya kutoka taarifa kwa Jeshi la Polisi kwamba linamshikilia Boniface Jacob kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.

Soma Pia:

Mama acha uzinguzi.
 
Acha wamnyooshe!
 
Afrika tatizo letu ni uchawi mwingi na roho ya kutu nyeusi alafu tukiwa masikini tunawasingizia wazungu.. unashindwaje kukamata wahalifu unakamata watoa taarifa...yaani serikali kwa lugha ya picha wanaonyesha wazi kuwa wao ndio watekaji..amani yetu ipo wapi??
 
Nilishasema siku nyingi sana ,mwafrika kumpa uhuru wa kuongea chochote atakacho kwa kisingizio cha demokrasia sio sawa .Denokrasia inatawaliwa na wapuuzi na wahuni kama Lema kushinda mitandaoni kushindana na serikali ni ujinga uliopitiliza aisee
Hii hata US. Ndio maana Assange na Snowden wanaharakati hawa waliongea wakiwa mafichoni huku wanasakwa kila kona ya dunia wapotezwe. Assange alizeekea UK kwenye ubalozi wa Ecuador 🇪🇨 huku nje anasubiriwa na wadau.

Naamini maamuzi ya upambanaji waliyoamua walipiga na hesabu ya usumbufu watakaopitia kufikia kaanani ya maamuzi yao.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Back
Top Bottom