Interested Observer
JF-Expert Member
- Mar 27, 2006
- 3,384
- 4,428
Usiamini chochote cha Polisi wa Tanzania. Hapo ndani washaweka kitu chao, na baada ya muda si mrefu watakuja na maelezo ambayo yatawafanya wote muamini. Nimeishi na polisi miaka mingi, nawajua, siamini polisi, hasa wa Tanzania. Wanafanya kazi kwa kuelekezwa tu. Amini nikwambiayo.Kada na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga, Ntobi amesema Jeshi la Polisi wamefika nyumbani kwa Boniface Jacob, maeneo ya Msakuzi kwa ajili ya upekuzi. Mawakili wa Chama wapo hapa kushuhudia upekuzi.
Hii inakuja baada ya kutoka taarifa kwa Jeshi la Polisi kwamba linamshikilia Boniface Jacob kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.
Soma Pia:
- Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo
- Boniface Jacob adaiwa kukamatwa na watu waliokuja na gari aina ya defender. Kamanda Kitwinkwi asema hana taarifa hizo