USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Polisi wamechelewa sana kwa hilo Boni ,mnyika,masese, Sativa na Mdude walitakiwa kuwa ndani akiwemo MboweKada na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga, Ntobi amesema Jeshi la Polisi wamefika nyumbani kwa Boniface Jacob, maeneo ya Msakuzi kwa ajili ya upekuzi. Mawakili wa Chama wapo hapa kushuhudia upekuzi.
Hii inakuja baada ya kutoka taarifa kwa Jeshi la Polisi kwamba linamshikilia Boniface Jacob kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.
Soma Pia:
- Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo
- Boniface Jacob adaiwa kukamatwa na watu waliokuja na gari aina ya defender. Kamanda Kitwinkwi asema hana taarifa hizo
USSR