Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Makhuluku tabu hao....Wakati wenzao wapo bize kunadi sera Chadema wapo bize kuanzisha migogoro na Polisi alafu baadae wanatukana na kukashifu Walimu wanaosimamia uchaguzi eti ' wanatumika na CCM kuiba kura' zao.
Hii strategy ya migogoro kwa lengo la kupata public sympathy haijawahi kufaulu. Na ingine ni ile ya kutumia manabii,wachungaji na maaskofu uchwara kusapoti hoja zao.