NTOBI: Jeshi la Polisi wamefika nyumbani kwa Boniface, hapa Msakuzi kwa ajili ya upekuzi

NTOBI: Jeshi la Polisi wamefika nyumbani kwa Boniface, hapa Msakuzi kwa ajili ya upekuzi

Nilishasema siku nyingi sana ,mwafrika kumpa uhuru wa kuongea chochote atakacho kwa kisingizio cha demokrasia sio sawa .Denokrasia inatawaliwa na wapuuzi na wahuni kama Lema kushinda mitandaoni kushindana na serikali ni ujinga uliopitiliza aisee
..ila kumuhoji na kumpekua mafwele hawawezi!
 
Aiiiseeee!
Hivi ni wewe kweli?
Huyu mtuhumiwa hata hujui tuhuma zinazo mhusu, tayari wewe umekwisha hitimisha!
Hukumu ilitolewa lini itakayo mfanya "ajue hajui"?

Ulijificha ficha siku nyingi kuonyesha picha yako halisi, sasa umebaki uchi kabisa.
Labda kama husomi habari zake kule X
 
Labda kama husomi habari zake kule X
hayo ya huko X kama huwezi kuyaleta huku yaache huko huko. Hapa tunajadili ya huku huku.
Na hizo habari za X zinaonyesha hukumu pia ya mtu kuwa kapatikana na hatia?
 
hayo ya huko X kama huwezi kuyaleta huku yaache huko huko. Hapa tunajadili ya huku huku.
Na hizo habari za X zinaonyesha hukumu pia ya mtu kuwa kapatikana na hatia?
Huwa anazileta kijana wake Mh Salary Slip
 
Nilitaka kuuliza kama wamepata warrant ya mahakama, na kama ni lazima?

Halafu nikakumbuka alichosema Rostam, mahakama za maamuzi ya kupigiwa simu.
 
Nilishasema siku nyingi sana ,mwafrika kumpa uhuru wa kuongea chochote atakacho kwa kisingizio cha demokrasia sio sawa .Denokrasia inatawaliwa na wapuuzi na wahuni kama Lema kushinda mitandaoni kushindana na serikali ni ujinga uliopitiliza aisee
Endelea Kukaa kwa shemeji Yako siku ukijitegemea ndio utajua hiki wanachofanya wapinzani.
 
Demokrasi siyo kutoa propaganda ovyo ovyo.
Kama ambazo huwa mnafanya kwenye makorido ya lumumba kuandaa viclips eti baby can you fly to KIA halafu mazwazwa yanasema mbowe kamwambia wema.
 
Adsa
Hii hata US. Ndio maana Assange na Snowden wanaharakati hawa waliongea wakiwa mafichoni huku wanasakwa kila kona ya dunia wapotezwe. Assange alizeekea UK kwenye ubalozi wa Ecuador 🇪🇨 huku nje anasubiriwa na wadau.

Naamini maamuzi ya upambanaji waliyoamua walipiga na hesabu ya usumbufu watakaopitia kufikia kaanani ya maamuzi yao.
Assange nimeishi nae nyumba moja kijitonyama 2004,Ile wikileaks nineidisign mimi
 
Huwa anazileta kijana wake Mh Salary Slip
Sijaona lolote alilo leta humu mkuu 'Salaryslip' linaloweza kuamsha mori na shangwe kiasi cha mnavyo shangilia kwenye mada hizi! Pengine kuna mengine ambayo bado hayajulikani kwetu.
 
Kada na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga, Ntobi amesema Jeshi la Polisi wamefika nyumbani kwa Boniface Jacob, maeneo ya Msakuzi kwa ajili ya upekuzi. Mawakili wa Chama wapo hapa kushuhudia upekuzi.

Hii inakuja baada ya kutoka taarifa kwa Jeshi la Polisi kwamba linamshikilia Boniface Jacob kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.

Soma Pia:

Hawajambambika vitu vya magendo?
Hawajamuwekea madawa ya kulevya?
 
Kada na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga, Ntobi amesema Jeshi la Polisi wamefika nyumbani kwa Boniface Jacob, maeneo ya Msakuzi kwa ajili ya upekuzi. Mawakili wa Chama wapo hapa kushuhudia upekuzi.

Hii inakuja baada ya kutoka taarifa kwa Jeshi la Polisi kwamba linamshikilia Boniface Jacob kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.

Soma Pia:

Attachments

  • 1726689592442.png
    1726689592442.png
    774.2 KB · Views: 1
Wakati wenzao wapo bize kunadi sera Chadema wapo bize kuanzisha migogoro na Polisi alafu baadae wanatukana na kukashifu Walimu wanaosimamia uchaguzi eti ' wanatumika na CCM kuiba kura' zao.

Hii strategy ya migogoro kwa lengo la kupata public sympathy haijawahi kufaulu. Na ingine ni ile ya kutumia manabii,wachungaji na maaskofu uchwara kusapoti hoja zao.
 
Back
Top Bottom