Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Nilishasema siku nyingi sana ,mwafrika kumpa uhuru wa kuongea chochote atakacho kwa kisingizio cha demokrasia sio sawa .Denokrasia inatawaliwa na wapuuzi na wahuni kama Lema kushinda mitandaoni kushindana na serikali ni ujinga uliopitiliza aiseeAcha wanyooshwe
Vitisho havijawahi nyamazisha wanaume.Acha wanyooshwe
DAH pole chawaNilishasema siku nyingi sana ,mwafrika kumpa uhuru wa kuongea chochote atakacho kwa kisingizio cha demokrasia sio sawa .Denokrasia inatawaliwa na wapuuzi na wahuni kama Lema kushinda mitandaoni kushindana na serikali ni ujinga uliopitiliza aisee
Ni kweli, huku africa kiongozi anaingia madarakani kwa kupora uchaguzi halafu anataka aheshimiwe!Nilishasema siku nyingi sana ,mwafrika kumpa uhuru wa kuongea chochote atakacho kwa kisingizio cha demokrasia sio sawa .Denokrasia inatawaliwa na wapuuzi na wahuni kama Lema kushinda mitandaoni kushindana na serikali ni ujinga uliopitiliza aisee
Kuongea kwao Kuna athiri uchumi wa nchi Kwa kiasi gani!!?Nilishasema siku nyingi sana ,mwafrika kumpa uhuru wa kuongea chochote atakacho kwa kisingizio cha demokrasia sio sawa .Denokrasia inatawaliwa na wapuuzi na wahuni kama Lema kushinda mitandaoni kushindana na serikali ni ujinga uliopitiliza aisee
The suspect remains innocent until proven guilty. Sijaona la ajabu hapo. Kibatala ajiandae kupangua allegations zozote zile zitakazoelekezwa kwa BJ. But timing of his arrest creates more questions than answers. Silencing the Voices of the critiques ? If so it is not the best way !Acha wanyooshwe
Lakini haileti picha nzuri kwa nchi inayojinasibu kuwa inaendeshwa kidemocrasia. Kauli za tuvumiliane kwa tofauti za itikadi na dini zetu imepotelea wapi siku hizi? Wapi tumekosea au kujikwaa kama Taifa ?? MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE !Boniyai alidhani Serikali ni Sawa na Makolo FC 🐼
Yai kawachokoza Yeye mwenyewe sasa atajua hajui 🐼Lakini haileti picha nzuri kwa nchi inayojinasibu kuwa inaendeshwa kidemocrasia. Kauli za tuvumiliane kwa tofauti za itikadi na dini zetu imepotelea wapi siku hizi? Wapi tumekosea au kujikwaa kama Taifa ?? MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE !
Kwa iyo unataka kila siku watu wawe wanaandamana tuKuongea kwao Kuna athiri uchumi wa nchi Kwa kiasi gani!!?
Kwani kuongea kwao SI ndio media industry inapata fedha na uchumi kukua!!?
Kwanini serikali isinge tumia madai yao positively kwa kuanzisha midahalo ya kisiasa itakayokua Gumzo nchini na kuteka vyombo vya habari na kukuza uchumi!!?
Kwanini serikali isingelinda maandamano Yao kama walivyofanya hapo kabla na hawakupindua nchi hao wapinzani!!!?
Aiseh !naishia hapa!!
Tunajenga taifa na SI chama kimoja kiwe kikubwa kuliko kingine!!!
Mama acha uzinguzi.Kada na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga, Ntobi amesema Jeshi la Polisi wamefika nyumbani kwa Boniface Jacob, maeneo ya Msakuzi kwa ajili ya upekuzi. Mawakili wa Chama wapo hapa kushuhudia upekuzi.
Hii inakuja baada ya kutoka taarifa kwa Jeshi la Polisi kwamba linamshikilia Boniface Jacob kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.
Soma Pia:
- Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo
- Boniface Jacob adaiwa kukamatwa na watu waliokuja na gari aina ya defender. Kamanda Kitwinkwi asema hana taarifa hizo
Ni kawaida tumesha zoea sana!!!Siyo nyie bila UCHAWA hamuwezi kula!!Acha wanyooshwe
Acha wamnyooshe!Kada na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga, Ntobi amesema Jeshi la Polisi wamefika nyumbani kwa Boniface Jacob, maeneo ya Msakuzi kwa ajili ya upekuzi. Mawakili wa Chama wapo hapa kushuhudia upekuzi.
Hii inakuja baada ya kutoka taarifa kwa Jeshi la Polisi kwamba linamshikilia Boniface Jacob kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo.
Soma Pia:
- Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo
- Boniface Jacob adaiwa kukamatwa na watu waliokuja na gari aina ya defender. Kamanda Kitwinkwi asema hana taarifa hizo
Umeshazoea nini na hujawahi hata kulala lockup?Ni kawaida tumesha zoea sana!!!Siyo nyie bila UCHAWA hamuwezi kula!!
Demokrasi siyo kutoa propaganda ovyo ovyo.Lakini haileti picha nzuri kwa nchi inayojinasibu kuwa inaendeshwa kidemocrasia. Kauli za tuvumiliane kwa tofauti za itikadi na dini zetu imepotelea wapi siku hizi? Wapi tumekosea au kujikwaa kama Taifa ?? MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE !
Hii hata US. Ndio maana Assange na Snowden wanaharakati hawa waliongea wakiwa mafichoni huku wanasakwa kila kona ya dunia wapotezwe. Assange alizeekea UK kwenye ubalozi wa Ecuador 🇪🇨 huku nje anasubiriwa na wadau.Nilishasema siku nyingi sana ,mwafrika kumpa uhuru wa kuongea chochote atakacho kwa kisingizio cha demokrasia sio sawa .Denokrasia inatawaliwa na wapuuzi na wahuni kama Lema kushinda mitandaoni kushindana na serikali ni ujinga uliopitiliza aisee
sikuhizi umekuwa na trash za kutoshaBoniyai alidhani Serikali ni Sawa na Makolo FC 🐼