Nuh Mziwanda afunguka machungu ya Maisha adai akifa "asije baba, mama wala ndugu" kunizika! Aomba azikwe na Serikali

Shida watu tuna-complicate sana maisha
 
Si kila mzazi anazaa kwa kuwa na shida.

Wengine wanazaa kwa kutimiza wajibu wa kijamii wa kuendeleza kizazi.


Leo umekuwa mjuba hadi rahaa...😊.

Msalimie wifi šŸ˜‰.
 
Wrong decision.. Anaowakataa Dada ndio watakuwa msaada wake wakati wa mateso sio hawa anaowaita mashabiki zake na serikali mjinga mmoja huyu
 
Kwa hiyo hawana akili kwamba mimba yako hawakupanga?
Naona unashindwa kuelewa hoja na kuichakata kimantiki.

Sijapinga kwamba wamepanga, napinga kwamba ni shida.

Kwani mtu anayetaka kupata mtoto akapanga akapata mtoto hapo shida iko wapi?
 
Vichaa tu ndio wanazaa bila ya kuwa na shida ya mtoto ,wengine ni wale wanaowatupa chooni au kutoa mimba .

Pengine tuna matatizo ya definition ya maneno.

Shida ni nini?
 
Naona unashindwa kuelewa hoja na kuichakata kimantiki.

Sijapinga kwamba wamepanga, napinga kwamba ni shida.

Kwani mtu anayetaka kupata mtoto akapanga akapata mtoto hapo shida iko wapi?
Nahisi kizungu kinakuchanganya ,unajua maana ya shida wewe ? Unapanga kubisha tu...Haya walikuwa wanahitaji mtoto🤣
 
Nikiona tu Mwanaume anavaa Hereni huwa natamani yale Magumu anayoyapitia yawe maradufu kwakuwa naamini Mwanaume akivaa Hereni ni dalili tosha kuwa 'ameshalefti' Kitambo mno katika 'Grupu' letu la Masela Original likiongozwa nami Admin Tukuka GENTAMYCINE.
 
Kina baba wengi ni kawaida yao kususa watoto. Ila ukiona mama yako mzazi amekususa inabidi ukae chini ujiulize mara nyingi.
Umeona eeeh
Madingi kama vile hawana roho ya mwanadamu Ila wamama wamejaa utu na huruma. Mama akikukacha jua wewe ndio chanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…