Matapeli wa Aridhi tu wanaajiaamini kuliko na kufanya yao watakavyo,itakua watu wa vyuma vya moto!! Uchunguzi wa kina ufanyike haraka iwezekanavyo, ili wahalifu wote wakamatwe!!Kwani unataka kusemaje? Kwamba polisi/usalama hawahusiki na huu utekaji? Kuna majambazi siku hizi wana jiamini na kutembea wakiteka watu kwa bunduki na pingu?Tena hadharani!!!
Ccm ni wauaji cku zoteAliyosema Mnyika:
Basi lilikuwa blocked na Land Cruiser hard top 2. Watu wawili wenye silaha walibaki nje na wawili wakaingia kwenye basi.
Hawakujitambulisha kama polisi.
Walikuwa na bunduki zitumiwazo na usalama wa taifa. Waliomchukua watakuwa usalama wa taifa.
"Hawa hawakuwa polisi." Alisisitiza Mnyika.
Walimchukua wa nguvu na kumpiga sana.
Wakitoka naye kwenye basi kuna mwenzao wa tatu aliongezeka. Kwamba huyo naye alikuwa abiria.
Alichoandika almaarufu X-mayor:
Tofauti na Mnyika, huyu anasema Hawa watu walijitambulisha kuwa ni polisi.
Kwamba alichukuliwa na polisi.
Kuwa Mzee Kibao alikuwa ni msafiri mfahamika mno na Tashrif.
Walichoandika mwananchi:
View attachment 3092200
Kwamba walisema wamekuja kumchukua mtu wao. Kuwa marehemu alishuka mwenyewe kwa kuongozana nao ya kuwa walikuwa wanajuana.
Kuna ongezeko la gari ya tatu, V8 pia hapa.
Beberu anasema:
"Which is which?"
Soma Pia: Umoja wa Ulaya watoa wito kwa Rais Samia kuanzisha uchunguzi wa haraka kubaini watekaji nchini
Aliyosema Mnyika:

Jamaa unamlaumu bure mwana,mshikaji kaleta nukuu tu za baadhi ya mashahidi kupitia mitandao,sasa wwe unamkasirikia badala ya kutafakari tukio zima na taarifa zake kwa kutumia ubongo wako uliobarikiwa na Mungu huku tukisubiri official statement kutoka mamlaka husika!!Peleka huu ushahidi polisi ili uwasaidie kwenye upelelezi wao unao endelea wa kujipeleleza wenyewe. Unaleta mada ya kiwaki wakati kuna mtanzania mwenzetu ametekwa na kuuawa na dola!!!
Jamaa unamlaumu bure mwana,mshikaji kaleta nukuu tu za baadhi ya mashahidi kupitia mitandao,sasa wwe unamkasirikia badala ya kutafakari tukio zima na taarifa zake kwa kutumia ubongo wako uliobarikiwa na Mungu huku tukisubiri official statement kutoka mamlaka husika!!
actually,Kwani walioamriwa kutoa taarifa kamili wameshanyoosha maelezo?
Wengine si Kila mtu atasema lake kama ilivyo katika nukuu hizo?
actually,
ndiyo ilivyo kwenye vifo na misiba tata ya wanadamu..
Infact,
hata ukweli au uongo uweje kila muombolezaji atafikiri na atasema lake kadiri anavyohisi na kuona mazingira na hali halisi ilivyo, hilo halizuiliki🐒
Alitekwa ama hakutekwa?Aliyosema Mnyika:
Basi lilikuwa blocked na Land Cruiser hard top 2. Watu wawili wenye silaha walibaki nje na wawili wakaingia kwenye basi.
Hawakujitambulisha kama polisi.
Walikuwa na bunduki zitumiwazo na usalama wa taifa. Waliomchukua watakuwa usalama wa taifa.
"Hawa hawakuwa polisi." Alisisitiza Mnyika.
Walimchukua wa nguvu na kumpiga sana.
Wakitoka naye kwenye basi kuna mwenzao wa tatu aliongezeka. Kwamba huyo naye alikuwa abiria.
Alichoandika almaarufu X-mayor:
Tofauti na Mnyika, huyu anasema Hawa watu walijitambulisha kuwa ni polisi.
Kwamba alichukuliwa na polisi.
Kuwa Mzee Kibao alikuwa ni msafiri mfahamika mno na Tashrif.
Walichoandika mwananchi:
View attachment 3092200
Kwamba walisema wamekuja kumchukua mtu wao. Kuwa marehemu alishuka mwenyewe kwa kuongozana nao ya kuwa walikuwa wanajuana.
Kuna ongezeko la gari ya tatu, V8 pia hapa.
Beberu anasema:
"Which is which?"
Soma Pia: Umoja wa Ulaya watoa wito kwa Rais Samia kuanzisha uchunguzi wa haraka kubaini watekaji nchini
Viongozi wengi wa Chadema Wana Viapo Vya asili Kwa mfano Dr Slaa ni Padre
Mnyika ni Mseminari
Mbowe ni Mtumishi wa Umma Mstaafu
Sugu ni Afisa mbobezi
Nk.....nk 😂 😂 😂 😂 😂
Watoto wadogo hamjui mengi🔥
Mwananchi: Tumekuja kumchukua Mtu wetu
Waliomuuwa Mpiganaji wa Vita ya Kagera bila kujali ni akina nani hasira ya Mungu itawashukia!Mkuu hizi ni nadharia fyongo.
Waliofanyiza tukio lile juu hadi chini ni waovu sana na hawawezi kujipa uhalali wowote.
Laiti mama angefanya maamuzi magumu kufanya uchunguzi huru.
Mossad na CIA hawajashindwa kuwakamata majahiri hata Teheran ndani ndani huko.
wachache wenye nia ovu from the Govt!, mnamharibia mama ninyi mnajua pia hiliLema kasema ni polisi mnyika kasema siyo polisi taarifa zipi ni za kweli?
Waliomuuwa Mpiganaji wa Vita ya Kagera bila kujali ni akina nani hasira ya Mungu itawashukia!
Nyie Nyumbu wa Ccm ndo wahusika wa uhalifuwachache wenye nia ovu from the Govt!, mnamharibia mama ninyi mnajua pia hili
Aliyosema Mnyika:
Basi lilikuwa blocked na Land Cruiser hard top 2. Watu wawili wenye silaha walibaki nje na wawili wakaingia kwenye basi.
Hawakujitambulisha kama polisi.
Walikuwa na bunduki zitumiwazo na usalama wa taifa. Waliomchukua watakuwa usalama wa taifa.
"Hawa hawakuwa polisi." Alisisitiza Mnyika.
Walimchukua wa nguvu na kumpiga sana.
Wakitoka naye kwenye basi kuna mwenzao wa tatu aliongezeka. Kwamba huyo naye alikuwa abiria.
Alichoandika almaarufu X-mayor:
Tofauti na Mnyika, huyu anasema Hawa watu walijitambulisha kuwa ni polisi.
Kwamba alichukuliwa na polisi.
Kuwa Mzee Kibao alikuwa ni msafiri mfahamika mno na Tashrif.
Walichoandika mwananchi:
View attachment 3092200
Kwamba walisema wamekuja kumchukua mtu wao. Kuwa marehemu alishuka mwenyewe kwa kuongozana nao ya kuwa walikuwa wanajuana.
Kuna ongezeko la gari ya tatu, V8 pia hapa.
Beberu anasema:
"Which is which?"
Soma Pia: Umoja wa Ulaya watoa wito kwa Rais Samia kuanzisha uchunguzi wa haraka kubaini watekaji nchini
wachache wenye nia ovu from the Govt!, mnamharibia mama ninyi mnajua pia hili
Hakuna CHADEMA zaidi CHADEMA mwingine kila mmoja ana UHURU wa MAWAZO.tulikubaliana kuzipiga vita tabia hizi za kutaka kujihesabia haki au kujifanya chadema sana kuliko wengine?
Kwamba wataanguka Wote 🐼