Hahahahaha mkuu nakikumbuka sana kumbe katerero yenyewe ipo bukoba hahahaha
 
Aseeee ukiandika kitabu cha nukuu hizi , utakuwa DSM best seller.
 
Unaanzaje kusahaulika sasa?
Impossible my sista.
Jamaa akitaja viunga vya Kilosa ananikumbusha madafu wakat nasoma huko,na ndo nilikozaliwa,akitaja Kilombero ndo kwa mama naendaga kula KAMBALE NA KITOGA.
Akitaja Dark City nakumbuka maisha yangu wakat naish Mazimbu Campus.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Polisi kupewa kaki kupiga viatu rangi,ruksa. Nakumbuka aliwahi kusema hivo
 
Watu wakikuchukia hata ukicheza kwenye maji watasema unawatimulia vumbi..
 
“Ukiona Mpinzani anakusifia, rudi hatua mbili nyuma jitazame umekosea wapi”

“Unakuta machinga maskini kamtaji kashilingi elfu 5 halafu unamfukuza hapa katikati, waacheni wauze maana ndio walinipa kula"

“On behalf of myself and all Tanzanians, My symphathy goes out to the people of Cuban on the death of Fidel Castro”
 
Kuhusu mikopo ya vyuo vikuu "SASA MTU ANAOMBA MKOPO KITU CHENYEWE NI MKOPO KWANN ASIPEWE?"
 
'Kama kuna mfanya biashara alinichangia hapa anyooshe mkono'
 
Ni wazo zuri. Je for posterity, unaonaje kama ungeongeza tarehe na mahali alipotuachia tunu zake.Hata quotation ya gazeti inafaa pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…