Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)
Ni wazo zuri. Je for posterity, unaonaje kama ungeongeza tarehe na mahali alipotuachia tunu zake.Hata quotation ya gazeti inafaa pia.

Boss quotes sio lazma iwe na tarehe wala mahali alipoongea. Angalia nukuu za watu wenye akili hiz hapa. Hazna tareh lakn mpaka kesho zinaishi.
Ngoja tuztunze na za huyu mheshimiwa kama zitaishi miaka 50 ijayo!

Solve Problems

We cannot solve our problems with the same thinking we used when we created them.

Einstein Quotes -

1b1e25d22a73d197de3fbc8525a9c1a0.jpg
 
[emoji328] [emoji12] [emoji559]
Let me recommend you this application

Automatic Call Receiver - Android Apps on Google Play


Katika dunia ya sasa hakuna kitu kinaweza kupotea ili mradi kimewahi kutamkwa mbele ya jamii. Lakn pia tunaweza kupoteza vitu admu pale tu tutakaposhindwa kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo na vya sasa. Kwa kipindi kirefu tumekua na nukuu za Baba wa Taifa mwalimu nyerere. Ni wakati mwafaka kuweka kumbumbuku ya maneno mazuri ya mheshimiwa Rais Magufuli.

Duniani tuna nukuu (quotes) zawa watu maarufu kama Martn Luther king, Jr. Abraham lincoln na wengine wengi. Kwa hapa kwetu tuna nukuu za baba wa taifa mwalim Nyerere.

Sasa ni wakati mwafaka kuweka nukuu zake kwenye uzi huu. Usihofu iwe mbaya masikio mwako au iwe nzuri wewe weka tu maana lolote analo litamka mkuu wa nchi linapaswa kutunzwa.

Naweka maneno mawili matatu kuanzisha ukurasa wa maneno ya mkuu wetu.

[emoji860][emoji860]Mimi ni raisi wa maskini wanaoshi kama malaika wataishi kama mashetani[emoji779]️[emoji779]️

[emoji860][emoji860]serikali yangu haitawapa chakula Kila mtu atabeba msaba wake njaa haijaletwa na serikali[emoji779]️[emoji779]️

[emoji860][emoji860] hakuna serikali iliyowahi kujenga nyumba za wahanga duniani pote. Nasisi hatujengi.[emoji779]️[emoji779]️

[emoji860][emoji860] hakuna kufanya za siasa mpaka 2020 siasa huzuia maendeleo[emoji779]️[emoji779]️

[emoji860][emoji860] siwezi kuwashirikisha wapinzani kwenye serikali yangu. Nakushangaa sheni kuwaingiza wapinzani[emoji779]️[emoji779]️

[emoji860][emoji860]sijawahi kutamka katiba kwenye kampeni zangu za kuomba urais , katiba sio kipaumbele changu kwa sasa nainyoosha nchi kwanza[emoji779]️[emoji779]️

[emoji860][emoji860]police mkukita mtu anaendesha gari kwenye njia ya mwendo kasi ng'oa tairi uzeni[emoji779]️[emoji779]️

[emoji860][emoji860]watoto watasomeshwa bure kwenye utawala wangu hivyo fyatueni watoto wengi maana watasoma bure[emoji779]️[emoji779]️

Haya ni machache kati ya mengi aliyowahi kuyaongea . Ni wakati mwafaka kuweka maneno yake hapa.
 
Nionyeshe anaekutisha uone kama anachukua hata dakika moja
 
Kuna ile quote. Alisema sadam husen ni wa nchi gan? Nkumbushen wadau
 
Back
Top Bottom