Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)
Mmmmmmh!!!!! Mungu. Tuepushee. Na ichi. Kikombee. Yani. Hii shidaa tunayo.. Pataa. Ndo shidaa wataipata USA. maana naona. Nao.. Wamebugi.. Kama. Siee tu
 
mwandishi:nje na siasa kitu gani kingine unapendelea?
Rais:Unataka nikwambie nakupenda wewe?
Kwa kweli nilimhurumia yule dada aliyeuliza hilo swali kwani alikosa amani baada ya kupata jibu hilo toka kwa mr. Jpm
 
Lol!....hizi ni nukuu (quotes) mbaya kabisa ndani ya siku 427, sawa na mwaka 1 na siku 62 pekee mara baada ya kuapishwa kuwa Rais hapo tarehe 5/11/2015!!

Sina hakika akimaliza siku 1,825 sawa na miaka mitano atakuwa amemwaga upupu wa kiwango gani tu hata kuweza kutunzwa kwa kumbukumbu za baadaye ili vitukuu vyake vije kuona jinsi babu yao alivyokuwa anafyatuka hovyo....

Kwangu mimi, watoto wangu na watoto wa watoto wangu hawana lolote lililo bora la kujifunza na kuliweka ktk library zao za kichwani na zile za mbao toka kwa huyu jamaa, zaidi kuwa, nitawafundisha kwamba huyu ni miongoni mwa marais wa hovyo kabisa kuwahi kutokea kuongoza taifa hili.....
Chunga kijana hayo ni maneno ya ovyo na chochezi
 
Ukiona hauna hela mfukoni ujue hela ulizokuwa nazo hazikuwa zako.....
 
"Ukimkamata Jambazi mlaze chini kabla hajakulaza weww".. ... "atakayeleta fyoko fyoko znz nipigie japo kwa kuninong'oneza dk 5 nyingi "
 
"kuna watu wana husda sna....hta kma unaogelea baharini watakwambia unawatimulia vumbi"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kwenye ahadi zangu sikuhaidi tetemeko"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu kama kweli na hii alisema basi jamaa sio mzima kwakweli
 
Mimi ni mzee mtu mzima na mama wa zaidi ya miaka 70. Kwa hiyo chunga sana kuita majina watu usiowajua!!
KWANI NANI MTU NUSU WEWE! Hata ungekuwa na miaka 200 narudia tena kusema kwa msisitizo MANENO YAKO NI YA OVYO NS CHOCHEZI
 
KWANI NANI MTU NUSU WEWE! Hata ungekuwa na miaka 200 narudia tena kusema kwa msisitizo MANENO YAKO NI YA OVYO NS CHOCHEZI

Wewe ndiye mtu nusu, yawezekana.

Au ndiyo nazidi kumwaga maneno kuchochea??

Sawa tu, acha nikuchochee mpaka uwake moto mithili ya ule wa welding!!
 
Back
Top Bottom