Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)
Watu kwa kuweka kumbukumbu sawa ni noma, tukijitahidi kuweka kumbukumbu sawa kwenye mambo mengine itakuwa poa sana, btw ahsante mleta uzi kwa thread yako
 
Siku nikipelekwa mahakamani kwa kosa la kutoa taarifa za uongo na uchochezi nitawauliza mbona Raisi na Waziri mkuu wanatoa taarifa za uongo lakini hawajachukuliwa hatua yoyote?

Nitaanza na nukuu ya Magufuli : "hata Italy haijengei nyumba wahanga wa tetemeko."

Namalizia na ya PM. "serikal itasambaza tani 1.5 million za chakula"
 
unataka kujipima ubavu angalia utapotea kama ben saanane!
 
Maanake utakuwa umekili kosa,kwamba ni kweli umetenda kosa lakini mbona watenda makosa wengine kama wewe hawajachukuliwa hatua!?watakwambia upelelezi wa alichokizungumza raisi bado unaendelea na ukikamilika ataletwa mahakamani,
Wakati hyo wewe ukienda kunyea ndoo
 
But da message will be sent
 
Watu kwa kuweka kumbukumbu sawa ni noma, tukijitahidi kuweka kumbukumbu sawa kwenye mambo mengine itakuwa poa sana, btw ahsante mleta uzi kwa thread yako

44e4b5e803f2a8e5e31ed4807f14bff0.jpg
 
Serikali yangu ukiharibu hiyo ni moja kwa moja " - maneno haya aliyatamka akiwa tarime mkoani mara
 
Back
Top Bottom