Kard unavozd kupanua
Ndo wazd kutaman
 
Kagera; Ukimwi nyinyi, mna kijiji kinaitwa katerelo, na mto ngono, serikali haina shamba! Kufa kufaana!
 
"Kazi hii ni ngumu kweli kweli, Mniombee........"
 
"Fyatueni watoto, watasoma buleee, hiyo ndiyo kazi yenu wananchi wa Dar es salaam"
 
"Kuna watu walizoea kusafiri nje Mara nyingi kuliko hata kwenda kusalimia nyumbani kwao " hii alisema bungeni nakumbuka JK alijsikia mnyonge sana siku ile.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi huwa SIJARIBIWI

Hapa alfunika kabxaaa
UKAWA WAKAWA WAKAWAIDA[emoji23][emoji16]
 
Serikali awamu ya tano sio ya kuchezewa!! Hawa aauwaji hapa kibiti tutawaonyesha na wameanza kukiona .

Kesho yake tu wakaua askari wetu!! So sad!!
 
Nimesema Fyatueni Tanzania ya viwanda inahitaji watu..
 
Nimesikia mna MTO unaitwa Ngono, na gulio linaitwa Katelero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…