Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)
Kagera; Ukimwi nyinyi, mna kijiji kinaitwa katerelo, na mto ngono, serikali haina shamba! Kufa kufaana!
 
"Kazi hii ni ngumu kweli kweli, Mniombee........"
 
"Fyatueni watoto, watasoma buleee, hiyo ndiyo kazi yenu wananchi wa Dar es salaam"
 
"Kuna watu walizoea kusafiri nje Mara nyingi kuliko hata kwenda kusalimia nyumbani kwao " hii alisema bungeni nakumbuka JK alijsikia mnyonge sana siku ile.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Serikali awamu ya tano sio ya kuchezewa!! Hawa aauwaji hapa kibiti tutawaonyesha na wameanza kukiona .

Kesho yake tu wakaua askari wetu!! So sad!!
 
Nimesikia mna MTO unaitwa Ngono, na gulio linaitwa Katelero
 
Back
Top Bottom